Ndio maana naipenda mifugo.

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,664
Huwa hawana aibu kama binadamu.
 
Attachments

  • 112578_03_4_20130218233621.jpg
    18.7 KB · Views: 292
  • bata.jpg
    12.1 KB · Views: 451
  • kobe.jpg
    35.8 KB · Views: 434
Ni kweli wanyama hawafanyani wa jinsia moja!...Ndo mana huwa nashangaa wanaosema binadamu wabaya eti ni wanyama!Hata wale wa mapenzi ya jinsia moja ati wanapachikwa majina ni wanyama?
 
Ni kweli wanyama hawafanyani wa jinsia moja!...Ndo mana huwa nashangaa wanaosema binadamu wabaya eti ni wanyama!Hata wale wa mapenzi ya jinsia moja ati wanapachikwa majina ni wanyama?
una uhakika hamna wanyama ambao hawafanyani jinsia moja?
 
Bonobo, Twiga, Simba wa Africa, Tembo wa Africa na Asia, Bulls and Rams, Pigeons, aina flani za nyangumi, aina za penguins.Hapa wametaja list ya wanyama 25, na pichaThe 25 Gayest Animals
 
Lete majibu usiulize swali
Bonobo, Twiga, Simba wa Africa, Tembo wa Africa na Asia, Bulls and Rams, Pigeons, aina flani za nyangumi, aina za penguins.Hapa wametaja list ya wanyama 25www.buzzfeed.com/mjs538/the-25-gayest-animals
 
Haa..haaaaaa Cameron....wa England..........juhudi zake ziazaa matunda!
 
Haa..haaaaaa Cameron....wa England..........juhudi zake ziazaa matunda!

yap, nimeshindwa kutranslate hayo majina. Wangapi wanajua apple kwa kiswahili ni nini? But umepata point!
 
Haibu ndio nini? nime-google hola!!

Sikia Gwangambo, kama uliweza kusoma na kuelewa point, there was no point of you googling that word. Humu JF si kila mtu anaandika Kiswahili fasaha na kama unataka hivyo jinunulie magazeti ili ujifunze kiswahili fasaha ila usije humu kutaka kujifunza lugha yako ukubwani, ni haibu ama aibu.
 
Last edited by a moderator:
Haya!, haibu kwako.
 
Kiboko ya wote ni hawa hapa,watatimuana kutoka mapolini kwao huko mpaka waje mlipokaa nyie na maongezi yenu kisha wanaanza biashara zao,shida sasa uwe labda unajadiliana mambo muhimu na mama mkwe wako....
 
Nimecheka sana. ilishawahi kunikuta wnilisikia aibu mno.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…