uwesuporoto
Senior Member
- Jun 2, 2017
- 116
- 58
Nenda dampo pugu utakuta kazi tele hukoHabari zenu viongozi.
Jamani mi nimefika jana dar je, nianzie wapi kutafuta ajira. Nina elimu ya darasa la saba na sina hata hiko cheti cha kumaliza shule. Msaada wenu tafadhali. Kwa anayeweza kuniambia pa kuanzia anielekeze niende pa kupiga kazi, kwangu kazi ni kazi. Akhsanteni
Oya mbona haupatikani mkuuNichek 0754265744
Napatkana ila usitafte SAA hz Nina kikao npm namba ykoOya mbona haupatikani mkuu
Poa nakutumia kupitia hizo namba zakoNapatkana ila usitafte SAA hz Nina kikao npm namba yko
Kuna kazi gani huko pugu na je malipo yake yanakuwaje? Mm nipo mbagala magari ya pugu unapandia wapiNenda dampo pugu utakuta kazi tele huko
PoaPoa nakutumia kupitia hizo namba zako
Achana na habari za dampo.....Unaweza kulima? kuna mtu anahitaji mfanyakazi wa shamba,malipo ni Tsh.40,000 kwa hekariKuna kazi gani huko pugu na je malipo yake yanakuwaje? Mm nipo mbagala magari ya pugu unapandia wapi
Shamba lipo wapi na je vipi kuhusu malazi?Achana na habari za dampo.....Unaweza kulima? kuna mtu anahitaji mfanyakazi wa shamba,malipo ni Tsh.40,000 kwa hekari
Tatizo la kuokota makopo ni kwamba mm dar ni mgeni naweza nikapotea kutokana na mitaa ya dar kuwa mingi ukilinganisha na kule kwetuIpo hapa kazi ya kuokota makopo,kg 1 nanunua kwa elf2,nitafute tuyajenge
Bila shaka unatania.... 1kg ya chupa ni 250,kwa ofa hako unaweza nunua makopo yote TZ ndani ya siku moja tu.Ipo hapa kazi ya kuokota makopo,kg 1 nanunua kwa elf2,nitafute tuyajenge
Lipo Msanga,Shamba lipo wapi na je vipi kuhusu malazi?
Bila shaka unatania.... 1kg ya chupa ni 250,kwa ofa hako unaweza nunua makopo yote TZ ndani ya siku moja tu.
Tatizo la kuokota makopo ni kwamba mm dar ni mgeni naweza nikapotea kutokana na mitaa ya dar kuwa mingi ukilinganisha na kule kwetu