Ndio basi tena tibaijuka umeshaharibu

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
2,931
2,010
Ndio basi tena umeshaharibu ni wimbo wa snura unafaa sana kumuagia profesa tibaijuka wakati akikusanya kila kilicho chake pale wizarani
Ukimya wa mkulu umeishia leo big up walau kwa kuonyesha makucha yako.#team bring back our money
 
Kumbe Mkulu mwishoni alikuwa na mambo mazuri? Nilishakata tamaa na hotuba yake. Angalau heshima ya serikali irudi. Sio watu wanajitapa kama vile wana ubia na dola.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom