Ndiko tulikofikia

Ndiko tulikofikia

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,888
Reaction score
831,219
Watu waliumbwa kupendwa.

Vitu viliundwa kutumika.

Sababu ya ulimwengu kuwa katika machafuko na mivurugano, ni kwa sababu vitu sasa ndio vinapendwa , na watu wanatumiwa.

Upendo wa leo uko too sentimental.. Unaangaliwa una bei gani mfukoni na unamiliki nini...
97f3fc0cc5a55ee366139cd3272be932.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upendo wa leo uko too sentimental.. Unaangaliwa una bei gani mfukoni na unamiliki nini...
 
Back
Top Bottom