Ndg zetu waislamu kwani Adhana ni lazima?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
11,252
Reaction score
24,091
Ndg zetu waislamu bila adhna asubuhi hamuwezi kuamka na kuswali au hata Ile mida y mchana kwamba Hadi mkumbushwe miaka na miaka?

Yaani hata kuweka alarm ya kuwaamsha kwamba muda wa swalaa umefika mkaswali ni hamna?

Mkumbuke hata Ile lugha mnayotumia wengi wetu ni sawa na kelele tu maana hatuielewi kabisa.

Naheshimu Imani yenu ila Adhana ni kero sana.
 
Hilo jambo tungekuwa tunafanya wakristu nchi isingetawalika

Yani amani ya kidini ya nchi tunayo wakristuaana hawa wenzetu ni washari sana

Kuna siku mbagala ilizuka story ya mtoto kukojolea msahafu,waislam wakaanza kuharibu makanisa.Bila busara ya wakristu siku ile kungetokea mambo mazito mnoooo
 
Subiri waje, si unawajua lakini
 
Hilo jambo tungekuwa tunafanya wakristu nchi isingetawalika

Yani amani ya kidini ya nchi tunayo wakristuaana hawa wenzetu ni washari sana

Kuna siku mbagala ilizuka story ya mtoto kukojolea msahafu,waislam wakaanza kuharibu makanisa.Bila busara ya wakristu siku ile kungetokea mambo mazito mnoooo
Mbna baadhi ya makanisa yanafanya hivyo nifull kuimba usiku mzima, naukipanga namtu anaemin mapepo amlali humo ndani
Lakin tunavumiliana
 
Hama, na ukipata sehemu mpya tafuta ambapo hakuna Msikiti. Msisitize Dalali
 
Ni bora adhana sio maspika na vinanda vya asubuhi asubuhi.....bado hawajaanza oooh rabba rabbaa shika rabaa 😏😏😏😏
 
Back
Top Bottom