Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,202
- 25,526
Mtindo mpya wa kuacha ndevu zilizo na mvi 'ulioibuliwa' na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe umeonekana kupata wafuasi baada ya Mbunge wa Rombo Joseph Selasini kuonekana katika mtindo huo.
Mbowe aliibuka na mtindo huo baada ya kutokea mahabusu kwenye kesi yake inayoendelea Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu pamoja na viongozi wenzake waandamizi wa CHADEMA. Tangu hapo, Mbowe amekuwa na muonekano mpya.
Tazama hapa: