Ndevu: Je zina umuhimu wowote katika mahusiano?

Ooohh!!! Kumbe ndevu...

images

Hii sasa kali..ukitaka kumkiss unatafuta mdomo uko wapi...shurti upekenyueeeeee!! Ukitaka kuzi-enjoy umpeleke kwa wamasai wamtie sangita otherwise..balaa!
 
Ndev zinamuhimu ndo maana zikawepo!! Pia ni moja ya kitambulisho cha mwanamume aside frm mwanamke!
 
Ha ha ha, umenichekesha kwa kweli
Labda azipige pasi
Hii sasa kali..ukitaka kumkiss unatafuta mdomo uko wapi...shurti upekenyueeeeee!! Ukitaka kuzi-enjoy umpeleke kwa wamasai wamtie sangita otherwise..balaa!
 
Hii sasa kali..ukitaka kumkiss unatafuta mdomo uko wapi...shurti upekenyueeeeee!! Ukitaka kuzi-enjoy umpeleke kwa wamasai wamtie sangita otherwise..balaa!
Hahahaha!!! Ngoja basi nimuweke George Clooney huyu naona atakufaa....

George%20Clloney%20beard.jpg
 
Hahahaaa...I remember you!

Good to hear you like goatees. What about sideburns?

Sure NN...my pleasure..

Mmmmh..sideburns..huwa zinachoma kwakweli unless hazijakaa sana usawa wa mashavu..like these (see below)... and Not like those presented by TF hapo juu za George clooney..loh!

Nazungumzia sideburns ambazo ziko lined up nicely, zimechanwa na brashi, zinazong'aa kwa mbali. Those I think you like!
 
Ha ha ha ha haaaaaaa!!!!!!!!!!!!!! life is good...mkimaliza ndevu mtashuka chini(down)...
 
Ndevu ndefu ina raha yake bana hasa ikipata kucha nyembamba na kifua kilichopendeza utakesha kwa kupekenyua, ila sio zile za malasi zimekaa shagalabagala hivo kuwa uchafu.
 
umewahi ona Lord of the rings??
mimi hizi ndevu ndo zinanipeleka kwingine..

Amaa! kila shetwani na mbuyu wake..... Yaani kungekuwa na dawa ya kuzizuia zisiote tena ningekuwa wa awali kuinunua. Kwangu naziona tu kama uchafu na kero na huwa nanyo zote hadi za ikulu!! Naruhusu nywele kubaki sehemu moja tu mwilini ....kichwani.... Pengine kamuch kiduchu is quite enough!!!
 
Nazungumzia sideburns ambazo ziko lined up nicely, zimechanwa na brashi, zinazong'aa kwa mbali. Those I think you like!

You are right...beards have its own taste. and can make a guy look really smart if he takes a good care of them by being neat and shave them whenever necessary...!
 
Back
Top Bottom