Ndevu: Je zina umuhimu wowote katika mahusiano?

CAMARADERIE

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,419
1,920
Wengine hunyoa wengine hufuga..........je zina umuhimu wowote ule? Hizi ni baadhi ya styles


moustache-and-beard-styles--thumb13526004.jpg
 
Mhh labda kunyoa O kunaweza kuwavutia wadada! By the way kisigino kina umuhimu gani ktk mahusiano? :smile-big:
 
Za chini ya kidevu zina maana yake mpwa. Ila zile za utajiju yaan juu ya mdomo zinamanufaa sana nipim nikupe.
 
Mimi na amini wazi zina mana sana.....Ingekuw hazina mana Prophet Mohamed na Yesu wasinge zifuga...Yani zinaonyesha wewe ni dume..

Lakni siku hizi wanawake ukifuga ndevu, wanasema kwani umekuwa Osama....ndo mana tunazifyeka.

Lakni kama una ndevu kama za Osama, wakati unabanjua demu huwa zina saidia sana...Zinamtekenya tekenya mashavu yule demu na hapo ndo anapozidi kuchanganya kwa speed kali ....:lol:
 
umewahi ona Lord of the rings??
mimi hizi ndevu ndo zinanipeleka kwingine..

Afrodenzi ! Hivi wajua kama unatukata stim ? Unaturusha sio siri ! Utaniuliza kwa nini ? Ni kwa Kukatiza route ! Unaposema " zinakupeleka kwengine" na kisha usipataje na sie ndiyo ushatutia mshawasha tena twawasha has'saa ! Tujue huko KWINGINE WAPI ? Hembu tufikishe mwisho wa route, hututendei haki.
 
Back
Top Bottom