Ndevu: Je zina umuhimu wowote katika mahusiano?

Afrodenzi ! Hivi wajua kama unatukata stim ? Unaturusha sio siri ! Utaniuliza kwa nini ? Ni kwa Kukatiza route ! Unaposema " zinakupeleka kwengine" na kisha usipataje na sie ndiyo ushatutia mshawasha tena twawasha has'saa ! Tujue huko KWINGINE WAPI ? Hembu tufikishe mwisho wa route, hututendei haki.

wewe una ndevu kama hizo??
 
Ni unamtazama
Halafu unapotelea kwenye ndevu kama sisimizi
Unatamani kuoneshwa njia ya kutoka hapo

Kweli ndevu huwapendezesha, hasa kama mwenye nazo anapatia swaga zake
Alafu ndevu zina watu wake bana.... Waweza muangalia mtu usimalize.
 
Alafu ndevu zina watu wake bana.... Waweza muangalia mtu usimalize.

ndo maana kuna dada kila nikikutana naye ananiangalia mpaka naona aibu naamua kumkimbia. Kumbe ndevu zangu zinamfanya amalize haja zote!
 
Ni unamtazama
Halafu unapotelea kwenye ndevu kama sisimizi
Unatamani kuoneshwa njia ya kutoka hapo

Kweli ndevu huwapendezesha, hasa kama mwenye nazo anapatia swaga zake


Yaaani we Kongoshao Umenipata kabisa! My words in you mouths aisee....


Umeona swagger ya avatar ya Jmushi? the guy.... mmmh! Nisiseme mengi aisee..lol
 
ndo maana kuna dada kila nikikutana naye ananiangalia mpaka naona aibu naamua kumkimbia. Kumbe ndevu zangu zinamfanya amalize haja zote!



hahahaha.... Nyalotsi umenifurahisha kweli yaani.... Upload picha basi tuone kama wapatia swagger na kama zakupendeza....:biggrin:
 
Mimi na amini wazi zina mana sana.....Ingekuw hazina mana Prophet Mohamed na Yesu wasinge zifuga...Yani zinaonyesha wewe ni dume..

Lakni siku hizi wanawake ukifuga ndevu, wanasema kwani umekuwa Osama....ndo mana tunazifyeka.

Lakni kama una ndevu kama za Osama, wakati unabanjua demu huwa zina saidia sana...Zinamtekenya tekenya mashavu yule demu na hapo ndo anapozidi kuchanganya kwa speed kali ....:lol:

Fazaa! Usemayo ndiyo nami nielewavyo, but kwa kuondoa utata isijekua twajidanganya rejea mi na wewe tu-wana-wa-kiume, na hao wasemwao ndiyo watekenywaji na hiyo mizuzu yetu wamejaa pomoni Jf si tuwaachie watomboke!
 
Ooohh!!! Kumbe ndevu...

images
 
Kumbe hata we unapenda ndevu ..lol



Napenda lakini sio kwa woote... Wengine wapendeza kuto kua nazo na pia wamuangalia bila kushiba! :A S embarassed:


Do me a favour naomba ni uploadie hizo request zangu.....
 
Back
Top Bottom