Sheria ipi unaweza kutusaidia na wengine tusioijua pls.Laana ni kwa CHADEMA kwa kutosikia yale yaliyoelekezwa kwao kwa mujibu wa sheria. Na vilevile kwa kujichukulia sheria mkononi kudai haki kwa nguvu pasipo kwenda mahakamani

Duhh! sidhani kama kweli huyu jamaa aliyeanzisha hii post yuko makini. Mabomu wamepigwa tarehe 5 then gazeti la mwananchi la tarehe 3 liandike habari hii ya maneno ya Ndesamburo!!!! Please, verify????
Laana ni kwa CHADEMA kwa kutosikia yale yaliyoelekezwa kwao kwa mujibu wa sheria. Na vilevile kwa kujichukulia sheria mkononi kudai haki kwa nguvu pasipo kwenda mahakamani
Kijana wangu kikwete unanipiga mabomu?
Nina kadi ya TANU ,tulidai uhuru kwa mkoloni hatukupigwa mabomu!
Moto huu wa Chadema huuwezi!!
This Sad Words must pay the price

Angepigwa bomu angekuwa hai kusema hayo unayo yasema?
Jamaa hata kuona tu kwako ni shida, umeambiwa gazeti la mwanachi tarehe saba january elfu mbili na kumi na moja. Sio tarehe tatu unayotunga wewe. Vaa miwani, soma vizuri halafu toa comments zako na umlaani JK kwa kupiga mabomu wazee wake.Duhh! sidhani kama kweli huyu jamaa aliyeanzisha hii post yuko makini. Mabomu wamepigwa tarehe 5 then gazeti la mwananchi la tarehe 3 liandike habari hii ya maneno ya Ndesamburo!!!! Please, verify????
mkuu .... onyonya okunonze inaendeleaje
Noted.. but pia ijumaa haikuwa tarehe 3