Ndesamburo words to JK

Duhh! sidhani kama kweli huyu jamaa aliyeanzisha hii post yuko makini. Mabomu wamepigwa tarehe 5 then gazeti la mwananchi la tarehe 3 liandike habari hii ya maneno ya Ndesamburo!!!! Please, verify????
Magafu huyu jamaa kasema mwananchi ya tarehe 7 na si 3 kama ulivyo quote hapo juu. Sorry he might have the point
 
Mzee Ndesamburo roho imesinyaa, moyo kupata ganzi, na akili kukaribia kuweuka pindi niliposoma KAULI HII NZITO KITAIFA na yenye kuonyesha uchungu mwingi sana na kusononeka vibaya sana moyoni.

Poleni sana tena sana kwa jinsi mlivyolazimika kudhalilishwa mbele ya macho yetu sisi umma wa Tanzania kana kwamba nyinyi ni majambazi hatari wa kupigwa mabomu nchini!!!
 
kwakweli inauma...matumizi mabaya ya silaha zilizonunuliwa kwa kodi zetu
 
Laana ni kwa CHADEMA kwa kutosikia yale yaliyoelekezwa kwao kwa mujibu wa sheria. Na vilevile kwa kujichukulia sheria mkononi kudai haki kwa nguvu pasipo kwenda mahakamani
Ndiyo maana mimi nakuita wewe stupidbrain. Kumbuka tafsiri yangu ya studpid (showing a lack of intelligence, perception, or common sense). Sikushangai na wa sitakushangaa kwa pumba unazotoa zinazoenda sambamba na ndunguyo Makamba.
 
CHADEMA is only true opposition in Tanzania we have to support them for a change!
 
Laana ni kwa CHADEMA kwa kutosikia yale yaliyoelekezwa kwao kwa mujibu wa sheria. Na vilevile kwa kujichukulia sheria mkononi kudai haki kwa nguvu pasipo kwenda mahakamani

Huna tofauti na inzi, baada ya kula mavi huwa nayeye anasafisha mikono, sijui ili asiharishe?
 
kwa hili la Gongo la mboto na yale ya arusha na vyuo vikuu inanifanya niamini kuwa nchi yetu ina akiba ya MABOMU kuliko MADAWA ya tiba!!
 
Maneno hayo yamenitia simanzi. Kama ni laana jk umezipata.

Maneno ya kipuuzi unayaita ya busara?

Ndesamburo ni mzee mwenye tabia za kihuni. Anadiriki kusema eti nchi haitatawalika....mpuuzi kweli kweli.

Anadhani nchi ni guest house mpaka isitawalike? ... Wenye uchungu na nchi hii tutahakikisha inatawalika!

Mzee huyu hana busara na hawezi kumlaani hata panzi.....aliyelaaniwa anaweza kulaani?
 
busara zako ni kula pilau na kushiba nakuanza kupumua pumba
 
CHADEMA is only true opposition in Tanzania we have to support them for a change!

CDM ni kama kuku aliyekatwa kichwa ghafla...chama kisicho na dira, kinachokurupuka na kurukia kila kitu wakidhani ndiyo siasa.
 
Duhh! sidhani kama kweli huyu jamaa aliyeanzisha hii post yuko makini. Mabomu wamepigwa tarehe 5 then gazeti la mwananchi la tarehe 3 liandike habari hii ya maneno ya Ndesamburo!!!! Please, verify????
aliongea kwenye jukwaa walivyopigwa mabomu arusha mmesahau?
 
Du haya tena alichokitaka Ndesa kimetokea tena Gongo la Mboto, ametabiri Nchi hii haitatawalika, naona kweli ana wafuasi wengi mpaka wanataka makamanda na Mawaziri wajiuzulu.
Tunaenda wapi wajameni? hamataki kutulia kila siku kuwa against tu?
 
Yeye Jk anaona amefika mwisho wa safari..lakini ajue msemo usemao mpanda ngazi hushuka! atawakuta wanamsubiri ..labda ajiyeyushe kama Balali

Yes treat kindly the people you meet on your way up; because they are the same people you will meet on your way down!:hand:
 
Du haya tena alichokitaka Ndesa kimetokea tena Gongo la Mboto, ametabiri Nchi hii haitatawalika, naona kweli ana wafuasi wengi mpaka wanataka makamanda na Mawaziri wajiuzulu.
Tunaenda wapi wajameni? hamataki kutulia kila siku kuwa against tu?
Mkuu Mwamunyange pale si mahali pake arudi tu akaimarishe JKT
Mwinyi nae anashindwa kufuata nyayo za babake aliyejiuzulu ile kashfa ya Mwadui wakati akiwa minister of internal affairs? kwani kwa wakati huo CDM ilikuwepo?
 
Kijana wangu kikwete unanipiga mabomu?
Nina kadi ya TANU ,tulidai uhuru kwa mkoloni hatukupigwa mabomu!
Moto huu wa Chadema huuwezi!!
This Sad Words must pay the price

Hii laana ilisemwa uwanja wa NMC - Arusha.
 
Wewe Magafu isijekua umeanza kucakachuliwa? Ni Mwananchi la tar 7 Januari na sio tarehe 3. Soma vizuri acha kua kipofu kama J..wa..K usione kijiko cha mtoto.
 
Maneno ya kipuuzi unayaita ya busara?

Ndesamburo ni mzee mwenye tabia za kihuni. Anadiriki kusema eti nchi haitatawalika....mpuuzi kweli kweli.

Anadhani nchi ni guest house mpaka isitawalike? ... Wenye uchungu na nchi hii tutahakikisha inatawalika!

Mzee huyu hana busara na hawezi kumlaani hata panzi.....aliyelaaniwa anaweza kulaani?

Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri,pengine unawekwa mjini na hao unaowatetea; mnahangaika sana vipapasi nyie,genge la wahuni gafla na nyie n wenyeji bagamoyo! Lazima mumlinde mpigaji wenu mkubwa

Ndesamburo mzee wetu ametoa ya moyoni kabisa,ungelelewa vema ungeliona hilo! Tutapambana tu,kwani haki haiombwi, haki ni mali yetu na tutaichukua.
 
ndiyo maana mimi nakuita wewe stupidbrain. Kumbuka tafsiri yangu ya studpid (showing a lack of intelligence, perception, or common sense). Sikushangai na wa sitakushangaa kwa pumba unazotoa zinazoenda sambamba na ndunguyo makamba.
this is abusive language!it is unfair!tupo hapa kubadilishana mawazo na si kutukanana!!
 
CDM ni kama kuku aliyekatwa kichwa ghafla...chama kisicho na dira, kinachokurupuka na kurukia kila kitu wakidhani ndiyo siasa.

Kama cdm ni kuku basi ni lile jogoo ambalo babako kule kijijini huwa hadiriki kulichinja hata siku moja, na ccm itakuwa ni kuku mtetea linalopandwa na kuendeshwa na maamuzi ya jogoo. Tafakari
 
Back
Top Bottom