Ndesamburo: Nitalirudisha Soko la Kiborloni

Ndesamburo: Nitalirudisha Soko la Kiborloni

Kipindi nasoma Moshi Technical School - hili soko lilikuwa linatusaidia sana kupata mahitaji yetu madogo madogo siku za jmosi hasa sisi wanafunzi tuliokuwa tumetoka familia za hali ya chini. Naunga mkono lirudishwe

Umesema kweli mazee bila kusahau kuwa ukishamaliza kuchagua mitumba then tunapitia pale..."Unyonyazi Ukunonze" kupata chakula ya bwana
 
Miaka yote ya ubunge wake kashindwa kulirudisha leo tena analeta ulaghai.

maccm yanakwamisha shughuri nyingi sana za kimaendeleo,yanadhani yanaikomoa cdm utafikiri ndiyo yenye dola,Ahadi ya maisha bora itimizeni vinginevyo jiandaeni kisaikolojia kupokea kichapo!
 
umesema kweli mazee bila kusahau kuwa ukishamaliza kuchagua mitumba then tunapitia pale..."unyonyazi ukunonze" kupata chakula ya bwana

yaani mnachangia tuu kumbe hata hamjui mnachochangia, kwani soko si lipo, kwanza sasa hivi liko sehemu nzuri kwani eneo kubwa
 
Mzee alikuwa mtu wa maendeleo.

R.I.P mzee Ndesa
 
maccm yanakwamisha shughuri nyingi sana za kimaendeleo,yanadhani yanaikomoa cdm utafikiri ndiyo yenye dola,Ahadi ya maisha bora itimizeni vinginevyo jiandaeni kisaikolojia kupokea kichapo!
Kwani nyie hamuwezi kufanya kazi mpaka msimamiwe? Mbona mfuko wa jimbo upo?
 
Sijui kama alifanikiwa katika hili. Ilikuwa ni siasa katika ubora wake
 
Back
Top Bottom