Ndesamburo muondoe Kilewo Mwanga

Ndesamburo muondoe Kilewo Mwanga

Status
Not open for further replies.
Mzee kama hujui heshima yako nikubwa sana nchi hii,haipendezi kwa unayotaka kuyafanya upareni,ninamaana muondoe kileo mpeleke hai kama ni raha,watu wa mwanga tutakupa mtu sio wewe utuletee mtu asie kuwa na maadili yetu

Hii ni thread yako ya pili kuhusu the same topic, i think you have something personal with either Kilewo or Ndesapesa!
 
Naona mmechanganyikiwa kwa mziki anaowapigia, nyie simlisema chadema mwisho wake ni njia panda?

Mmeanza kuwehuka zaidi baada ya kilewo kuwapiga vizuri magamba pare yote, alianzia same kwa Matayo,Kilango kisha akahamia kwa Maghembe na alimpiga ipasavyo na kamwe kilewo hatutoacha kumuunga mkono ni kijana wetu hodari asiyemuogopa mtu, Nenda kijiji cha Lwami kaulize kilewo ni nani hapa Mwanga. Viongozi wenu wa mkoa walipiga simu mwanga kuuliza viongozi wa wilaya kwa kile kimachoendelea hapa Mwanga ma viongozi wa ccm hapa Mwanga waliwajibu wakubwa zako kuwa, mbona nyie mlishindwa kwenye uchaguzi hapo kiborloni mbona hatukuwauliza? Ni kweli hili jimbo kilewo amelifanya hamna na amefanya kazi kubwa kuliko mbunge wa jimbo.

wengi mnashangaa kwanini Kileo na hamshangaa kwanini kata ya kileo, hakika pare tumepata mkombozi wa kweli, tutampigania kileo kwa gharama zetu na hapa mwanga hatumlete mtu mwingine hapa ni kileo mwanzo mwisho, nenda kwako,kigonigoni,jipe,tologha,kivisini,lang'ata,kileo,mangara,kilomeni,kifula,chomvu,ugweno,kirongwe,shighatini na usangi kaulize kuhusu kileo watakueleza kileo ni nani, endelea kupiga kelele mitandaoni sisi tunapiga kazi, nadhani umeona timu ya kamanda kileo ilivyo imara mpaka mdongo wa mzee msuya ameukubali mziki amejiunga Chadema pamoja na familia yake yote. Kaka kileo kama usemavyo hili jimbo ni laini mno na umelilainisha kweli kweli tunaomba uendeleze tupo na wewe.
 
Mzee kama hujui heshima yako nikubwa sana nchi hii,haipendezi kwa unayotaka kuyafanya upareni,ninamaana muondoe kileo mpeleke hai kama ni raha,watu wa mwanga tutakupa mtu sio wewe utuletee mtu asie kuwa na maadili yetu

Gamba jicho limekutoka eeh...wakati kileo alipokuwa anaanza harakati za hili jimbo hapa, wengi mlimbeza mkisema anajisumbua, sasa ni kitu gani kinacho wawasha? Au mmeonajimbo limeiva ndiyo mmeanza kuleta mdomo? Alipokuwa anaacha kulala pale kwao Lwami na kulala kwenye vijiji vya watu mlimuona mtu wa dhiki asiye na uwezo wakulala sehemu nzuri? Kipindi kile nikiwa hapa vuchama nikiwa kiongozi wa vijana niliwaeleza viongozi wangu juu ya kileo mkanipuuza sasa matokeo mmeyaona. Namimi sasa nimeungana na makamanda tunawapelekea moto wauhakika, kileo tutampitisha nyika yote, ugweno na usangi wewe endeleza siasa zako za chuki ila humuwezi kileo utapotea kama anavyokupoteza.
 
Kuna mtu asiyeuelewa mziki wa kamanda Kileo, ni moto wa kuotea mbali huyo, ccm wanamuelewa.
 
Naona mmechanganyikiwa kwa mziki anaowapigia, nyie simlisema chadema mwisho wake ni njia panda?

Mmeanza kuwehuka zaidi baada ya kilewo kuwapiga vizuri magamba pare yote, alianzia same kwa Matayo,Kilango kisha akahamia kwa Maghembe na alimpiga ipasavyo na kamwe kilewo hatutoacha kumuunga mkono ni kijana wetu hodari asiyemuogopa mtu, Nenda kijiji cha Lwami kaulize kilewo ni nani hapa Mwanga. Viongozi wenu wa mkoa walipiga simu mwanga kuuliza viongozi wa wilaya kwa kile kimachoendelea hapa Mwanga ma viongozi wa ccm hapa Mwanga waliwajibu wakubwa zako kuwa, mbona nyie mlishindwa kwenye uchaguzi hapo kiborloni mbona hatukuwauliza? Ni kweli hili jimbo kilewo amelifanya hamna na amefanya kazi kubwa kuliko mbunge wa jimbo.

wengi mnashangaa kwanini Kileo na hamshangaa kwanini kata ya kileo, hakika pare tumepata mkombozi wa kweli, tutampigania kileo kwa gharama zetu na hapa mwanga hatumlete mtu mwingine hapa ni kileo mwanzo mwisho, nenda kwako,kigonigoni,jipe,tologha,kivisini,lang'ata,kileo,mangara,kilomeni,kifula,chomvu,ugweno,kirongwe,shighatini na usangi kaulize kuhusu kileo watakueleza kileo ni nani, endelea kupiga kelele mitandaoni sisi tunapiga kazi, nadhani umeona timu ya kamanda kileo ilivyo imara mpaka mdongo wa mzee msuya ameukubali mziki amejiunga Chadema pamoja na familia yake yote. Kaka kileo kama usemavyo hili jimbo ni laini mno na umelilainisha kweli kweli tunaomba uendeleze tupo na wewe.

mkuu.naona umeamua kujipigia promo, usisahau kutembea na kidumu cha tindikali mtu yoyote akikupinga ni kummwagia tindikali tu wajue kweli wewe ni kamanda. hongera sana
 
Looks Smart, sijui unataka amuondoe kwa sababu zipi au umetumwa ndugu?
 
Kuna mtu asiyeuelewa mziki wa kamanda Kileo, ni moto wa kuotea mbali huyo, ccm wanamuelewa.

Unajua kuna mijitu humu inachuki binafsi utadhani anaweza mapambano, ukimuuliza ulitaka ukabidhiwe wewe amaanza unajua nyingi kuliko jibu. Kiukweli ccm hapa Mwanga kwasasa wanahangaika usiku na mchana juu ya kamanda kileo ila mziki wake wameshindwa kuuzuia kwakuwa kileo anajochanganya na watu wote bila kujali huyu ni nani kitu ambacho maccm haya wezi, na karibia viongozi wote waccm hapa mwanga ni watu ambao kamanda kileo aliwachomeka ndani ya ccm, kama mtakumbuka kuna kikao kilivunjika usangi mbele ya mzee Msuya na Maghembe hii yote maccm hawajiulizi nani alisababisha vile? Ni kwanini sasa hivi ccm imeshindwa kufanya mikutano mwanga? Daah kweli ccm mko ICU, kileo songa mbele jembe
 
mkuu.naona umeamua kujipigia promo, usisahau kutembea na kidumu cha tindikali mtu yoyote akikupinga ni kummwagia tindikali tu wajue kweli wewe ni kamanda. hongera sana

ni heri ajipigie promo kwakuwa alichofanya kinaonekana. poleni sana jimbo limeondoka na msipokuwa makini 2015 hata wakusimama kupambana na kamanda kileo mtamkosa
 
Alafu ukichunguza sana utakuta mleta mada una Hindus ni ccm sijui uwa wana washes nn na mambo ya chadema
 
Mzee kama hujui heshima yako nikubwa sana nchi hii,haipendezi kwa unayotaka kuyafanya upareni,ninamaana muondoe kileo mpeleke hai kama ni raha,watu wa mwanga tutakupa mtu sio wewe utuletee mtu asie kuwa na maadili yetu

Wewe una siasa mpya zinye ushenzi ndani yake ,unajua Arusha ilishakuwa na mbunge mpare anaitwa Mmbaga ,tena enzi za utawala wa magamba .sasa wewe kweli unaweza kuwa ni chadema kweli !? Au ni gamba unaejifanya kamanda kumbe umetumwa na ccm .kwa mbinu hiyo kumzuia Kilewo ili gamba washinde !!??
 
Tutamchagua sisi wagweno na wasangi kisha tambarare wenzake watamalizia kuichinja ccm mchana kweupe.

utabadilisha sana id, hakuna mtu wa kuchagua gaidi. utapata kura mbili tu, ya kwako na ya joisi kiria
 
Mzee kama hujui heshima yako nikubwa sana nchi hii,haipendezi kwa unayotaka kuyafanya upareni,ninamaana muondoe kileo mpeleke hai kama ni raha,watu wa mwanga tutakupa mtu sio wewe utuletee mtu asie kuwa na maadili yetu

Emolo tunae mjua ni mtu mfupi wa congo .ina maana kwa hilo jina .limefanya akili kuwa fupi pia ? Mbona unaleta ukabila karne hii .ni mzima kweli wewe !!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom