Ndesamburo muondoe Kilewo Mwanga

Ndesamburo muondoe Kilewo Mwanga

Status
Not open for further replies.

EMOLO

Member
Joined
Feb 12, 2014
Posts
7
Reaction score
2
Nlipokuwa nikisikia UCHAGA na CHADEMA nilihisi ni chuki za watu wa mitaani lakini leo nausibitishia umma kwamba kilichomtoa ZITO CHADEMA ni UCHAGA NA UDINI.

Ndugu zangu wana jamii mimi ni mkazi wa MWANGA KILIMANJARO kwa kuzaliwa nakama mjuavyo sisi watu wa KILIMANJARO tumekwenda shule na kimsingi mkoa huu unamakabila mawili makuu yaani WACHAGA,WAPARE na kabila lingine dogo ndani ya wilaya ya MWANGA yaani WAGWENO.lkn ndani ya mkoa wa KILIMANJARO tuna majimbo 9 ya uchaguzi,kwa maana majimbo 6 kati ya hayo yapo UCHAGANI na 3 yako upareni kwa maana ya same2 na mwanga 1.

Dasa leo watu wa jimbo la mwanga lililojaa wasomi tunaandaliwa mgombea katika jimbo letu anae jitambulisha kuwa ni KATIBU wa mkoa wa kisiasa CHADEMA kinondoni na katibu wa makatibu wa Dar esalamu,kwa jina anaitwa HENDRY KILEWO, mtu huyu kiuhalisia ni MCHAGA lakini leo kwakupitia AGIZO la MWENYEKITI MBOWE kwamba kila afisa wa chama makao makuu akaandae jimbo na agombee, Kiongozi huyo MCHAGA akaona pakukimbilia ni mwanga kwakua WACHAGA wenzake walisha kamata majimbo yote ya UCHAGANI,sasa nataka CHADEMA watambue WAPARE tupo na tutagombea jimbo letu wenyewe kwa chama tukipendacho na huyo KILEWO arudi kwao moshi.

KILEWO
baba yake ni MCHAGA na mama yake ni MJALUO alie lelewa na Baba wa kambo nje kidogo ya MJI WA MWANGA, CHADEMA mwaka 2010 wlipata kura 5000.nilifikiri wange zitunza sasa wamepoteza. hongera ZITO watu wa MWANGA tuko na wewe. nitaendelea...
 
:A S cry:Nlipokuwa nikisikia UCHAGA na CHADEMA nilihisi ni chuki za watu wa mitaani lakini leo nausibitishia umma kwamba kilichomtoa ZITO CHADEMA ni UCHAGA NA UDINI.Ndugu zangu wana jamii mimi ni mkazi wa MWANGA KILIMANJARO kwa kuzaliwa nakama mjuavyo sisi watu wa KILIMANJARO tumekwenda shule na kimsingi mkoa huu unamakabila mawili makuu yaani WACHAGA,WAPARE na kabila lingine dogo ndani ya wilaya ya MWANGA yaani WAGWENO.lkn ndani ya mkoa wa KILIMANJARO tuna majimbo 9 ya uchaguzi,kwa maana majimbo 6 kati ya hayo yapo UCHAGANI na 3 yako upareni kwa maana ya same2 na mwanga 1.sasa leo watu wa jimbo la mwanga lililojaa wasomi tunaandaliwa mgombea katika jimbo letu anae jitambulisha kuwa ni KATIBU wa mkoa wa kisiasa CHADEMA kinondoni na katibu wa makatibu wa Dar esalamu,kwa jina anaitwa HENDRY KILEWO, mtu huyu kiuhalisia ni MCHAGA lakini leo kwakupitia AGIZO la MWENYEKITI MBOWE kwamba kila afisa wa chama makao makuu akaandae jimbo na agombee, Kiongozi huyo MCHAGA akaona pakukimbilia ni mwanga kwakua WACHAGA wenzake walisha kamata majimbo yote ya UCHAGANI,sasa nataka CHADEMA watambue WAPARE tupo na tutagombea jimbo letu wenyewe kwa chama tukipendacho na huyo KILEWO arudi kwao moshi.KILEWO baba yake ni MCHAGA na mama yake ni MJALUO alie lelewa na Baba wa kambo nje kidogo ya MJI WA MWANGA, CHADEMA mwaka 2010 wlipata kura 5000.nilifikiri wange zitunza sasa wamepoteza. hongera ZITO watu wa MWANGA tuko na wewe. nitaendelea...
 
Sasa ambiere umeandika nini hpa?
 
Ndg mbona unatia aibu wapare waliosoma?inamana hujaona kilicho andikwa?au na we ndo walewale!?
 
Sasa ambiere umeandika nini hpa?

Wewe ni mtu hatari! acha ukabila, hii sio njia sahihi ya kupata suluhu ya unalolilalamikia. Unalaumu ukabila halafu unasema watu wa mwanga mnajuana, contradiction!
 
Hongera kwa kuliona hilo. Chadema ni wabaguzi wa ukabila sana, tena uchaga
 
:A S cry:Nlipokuwa nikisikia UCHAGA na CHADEMA nilihisi ni chuki za watu wa mitaani lakini leo nausibitishia umma kwamba kilichomtoa ZITO CHADEMA ni UCHAGA NA UDINI.Ndugu zangu wana jamii mimi ni mkazi wa MWANGA KILIMANJARO kwa kuzaliwa nakama mjuavyo sisi watu wa KILIMANJARO tumekwenda shule na kimsingi mkoa huu unamakabila mawili makuu yaani WACHAGA,WAPARE na kabila lingine dogo ndani ya wilaya ya MWANGA yaani WAGWENO.lkn ndani ya mkoa wa KILIMANJARO tuna majimbo 9 ya uchaguzi,kwa maana majimbo 6 kati ya hayo yapo UCHAGANI na 3 yako upareni kwa maana ya same2 na mwanga 1.sasa leo watu wa jimbo la mwanga lililojaa wasomi tunaandaliwa mgombea katika jimbo letu anae jitambulisha kuwa ni KATIBU wa mkoa wa kisiasa CHADEMA kinondoni na katibu wa makatibu wa Dar esalamu,kwa jina anaitwa HENDRY KILEWO, mtu huyu kiuhalisia ni MCHAGA lakini leo kwakupitia AGIZO la MWENYEKITI MBOWE kwamba kila afisa wa chama makao makuu akaandae jimbo na agombee, Kiongozi huyo MCHAGA akaona pakukimbilia ni mwanga kwakua WACHAGA wenzake walisha kamata majimbo yote ya UCHAGANI,sasa nataka CHADEMA watambue WAPARE tupo na tutagombea jimbo letu wenyewe kwa chama tukipendacho na huyo KILEWO arudi kwao moshi.KILEWO baba yake ni MCHAGA na mama yake ni MJALUO alie lelewa na Baba wa kambo nje kidogo ya MJI WA MWANGA, CHADEMA mwaka 2010 wlipata kura 5000.nilifikiri wange zitunza sasa wamepoteza. hongera ZITO watu wa MWANGA tuko na wewe. nitaendelea...
Halafu kileo mwenyewe anamwagia watu tindikali, muuwaji awe mbunge tena???
 
Aise wewe ni mzima kweli !!!? Ulilala kwenye pipa la dengerua .?
 
Hii dhambi ya UBAGUZI haitawaacha salama, baadaye itakuwa huyu ni wa ILALA na huyu ni wa KINONDONI
 
:A S cry:Nlipokuwa nikisikia UCHAGA na CHADEMA nilihisi ni chuki za watu wa mitaani lakini leo nausibitishia umma kwamba kilichomtoa ZITO CHADEMA ni UCHAGA NA UDINI.Ndugu zangu wana jamii mimi ni mkazi wa MWANGA KILIMANJARO kwa kuzaliwa nakama mjuavyo sisi watu wa KILIMANJARO tumekwenda shule na kimsingi mkoa huu unamakabila mawili makuu yaani WACHAGA,WAPARE na kabila lingine dogo ndani ya wilaya ya MWANGA yaani WAGWENO.lkn ndani ya mkoa wa KILIMANJARO tuna majimbo 9 ya uchaguzi,kwa maana majimbo 6 kati ya hayo yapo UCHAGANI na 3 yako upareni kwa maana ya same2 na mwanga 1.sasa leo watu wa jimbo la mwanga lililojaa wasomi tunaandaliwa mgombea katika jimbo letu anae jitambulisha kuwa ni KATIBU wa mkoa wa kisiasa CHADEMA kinondoni na katibu wa makatibu wa Dar esalamu,kwa jina anaitwa HENDRY KILEWO, mtu huyu kiuhalisia ni MCHAGA lakini leo kwakupitia AGIZO la MWENYEKITI MBOWE kwamba kila afisa wa chama makao makuu akaandae jimbo na agombee, Kiongozi huyo MCHAGA akaona pakukimbilia ni mwanga kwakua WACHAGA wenzake walisha kamata majimbo yote ya UCHAGANI,sasa nataka CHADEMA watambue WAPARE tupo na tutagombea jimbo letu wenyewe kwa chama tukipendacho na huyo KILEWO arudi kwao moshi.KILEWO baba yake ni MCHAGA na mama yake ni MJALUO alie lelewa na Baba wa kambo nje kidogo ya MJI WA MWANGA, CHADEMA mwaka 2010 wlipata kura 5000.nilifikiri wange zitunza sasa wamepoteza. hongera ZITO watu wa MWANGA tuko na wewe. nitaendelea...
Kumbe utagombea kwa chama unachokipenda na sio Chadema , si uagombee hicho chama cha Kipare? Watu wengine bana sijui wanawaza kwa kutumia Meya wa Jiji....
 
NINAMASHAKA na uelewa wako,unanidhamu ya uoga,nahisi wewe ni MIONGONI MWAO,kimsingi tafakari kabla hujajibu. I dare to talk openly.
 
Mzee kama hujui heshima yako nikubwa sana nchi hii,haipendezi kwa unayotaka kuyafanya upareni,ninamaana muondoe kileo mpeleke hai kama ni raha,watu wa mwanga tutakupa mtu sio wewe utuletee mtu asie kuwa na maadili yetu
 
Wapare kwa ubaguzi hatujambo kisa anatoka tambarare,mnamtaka wa usangi au ugweno?maana hata wa ugweno hatujawahi kuwapa ubunge
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom