Heshimu hisia na mitazamo ya wengine Mwelewa, reply yako haiwezi kubadili kamwe ukweli na uhalisia wa kile nilichoandika! Waheshimu watanzania ni watu na werevu na wastahamilivu sana ndio maana unaweza kuandika uandikayo na bado ukabaki salamaWatanzania wanavyopenda kusikia visa hivi vya kufikirika basi hapa MshanaJr umewakamata kisawasawa.
Hapa kinachotokea washabiki wako nao wanaenda kusimulia watu wengine huko nyumbani kwao basi jamii nzima inazidi kuamini kwenye hivi visa visivyonauthibitisho.
OK hakuna tatizo.....namimi nilikuwa nafikisha maoni yangu wala si kwa jazbaHeshimu hisia na mitazamo ya wengine Mwelewa, reply yako haiwezi kubadili kamwe ukweli na uhalisia wa kile nilichoandika! Waheshimu watanzania ni watu na werevu na wastahamilivu sana ndio maana unaweza kuandika uandikayo na bado ukabaki salama
[emoji28][emoji28]Naweza kumpata Beyonce au minaji??
ukikamatwa nayo si utaonekana mchawi hamna ya kutotembea nayoBooster umatembea nayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndele haivuki bahari [emoji23] [emoji23] [emoji23]fimbo ya mbali haiui nyoka [emoji15] [emoji87] [emoji85] [emoji81]uchawi wa Beyonce na Minaj ni sheleli[emoji383] [emoji385] [emoji384] [emoji389] [emoji387] [emoji386]una bei gani kibindoni?Naweza kumpata Beyonce au minaji??
we itabdi uwe msaidizi wa mshanaNdele,
*Ya hirizi inayofungwa kwenye bega kamba nyeusi.
*Ya unga unga unaisugua kwenye kichwa.
*Ya mshumaa/kibatali unauwasha moto unapohitaji
*Ya majimaji unaweka kwenye ndoo unaoga.
*Ya mkorogo kwenye mafuta halafu unajipaka.
---uzuri wa ndele ukimtaka demu kama anakusumbua, anajileta mwenyewe huku anarembua macho.[emoji1] [emoji1]
Unataka kumdanganya nani kwamba hujawahi kuliwa?Wajinga Ndiyo Waliwao
limbwata si hadi uwe na bwana?Limbwata
Ndele haivuki bahari [emoji23] [emoji23] [emoji23]fimbo ya mbali haiui nyoka [emoji15] [emoji87] [emoji85] [emoji81]uchawi wa Beyonce na Minaj ni sheleli[emoji383] [emoji385] [emoji384] [emoji389] [emoji387] [emoji386]una bei gani kibindoni?
ha ha haUnataka kumdanganya nani kwamba hujawahi kuliwa?
Dah hiyo ya mshumaa umenikumbusha mbaaali 2004 kushuka chini,Ndele,
*Ya hirizi inayofungwa kwenye bega kamba nyeusi.
*Ya unga unga unaisugua kwenye kichwa.
*Ya mshumaa/kibatali unauwasha moto unapohitaji
*Ya majimaji unaweka kwenye ndoo unaoga.
*Ya mkorogo kwenye mafuta halafu unajipaka.
---uzuri wa ndele ukimtaka demu kama anakusumbua, anajileta mwenyewe huku anarembua macho.[emoji1] [emoji1]