Ndege yatua kwa dharura katikati ya barabara Uganda

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
10527483_818338548184812_1437087587831349066_n.jpg

plane-pic.jpg

The plane carrying nine US marines that crash-landed on Mityana Road in Kiwawu, Uganda, on July 18, 2014.


A South Sudan-bound plane carrying US military personnel has been forced to land in the middle of road after taking off from Entebbe airport.

The plane, eyewitnesses say, touched down along Kampala Mityana road near Kiwawu trading center attracting dozens speculators and heavily paralysing traffic flow.

A Ugandan police spokesman says a small aircraft carrying U.S. military personnel has made an emergency landing on a road after running out of fuel.

Phillip Mukasa said Friday that the Piper aircraft with eight people on board including two crew members was returning to Uganda's Entebbe airport when it had to make an emergency landing in Mityana town, some 67 kilometers (about 41 miles) from the Ugandan capital of Kampala.

No one was hurt and the aircraft wasn't damaged, he said, although motor traffic flow was seriously disrupted.

He said the aircraft had been headed to South Sudan but it couldn't land there and had to return to Uganda.

It was not immediately clear why the pilot could not land in South Sudan.

Source;nation
 
140718142737_ndege_uganda_512x288_dailynation.jpg

Ndege hii ilikuwa inaelekea mjini Juba Sudan Kusini


Shughuli ziliathirika leo wilayani Mityana baada ya ndege kutua kwa dharura katika barabara ya magari ya Mityana.
Ndege hiyo N604AR, iliyokuwa imewabeba wanajeshi wa Marekani, ilitua katika eneo la Kiwawu umbali wa kilomita 22 kutoka wilaya ya Mityana.
Kwa mujibu wa mtandao wa Nation, kamishna wa wilaya Joel Walusimbi, alithibitisha tukio hilo akisema rubani wa ndege hiyo alilazimika kutua katikati ya barabara
Polisi walisema kuwa ndege hiyo ilikuwa inaelekea mjini Juba Sudan Kusini kutoka uwanja wa ndege wa Entebbe.Chanzo.BBC

Hawa Wanajeshi wa Marekani wanakwenda Sudan ya kusini kufanya nini? Kwa sababu kuna mafuta kule khaaaaa
 
10383488_10152250008652479_3124725187693404869_n.jpg

uganda_plane_2979741c.jpg uganda_plane02_2979739b.jpg

A plane carrying American soldiers crash landed on a highway outside Uganda's capital Kampala on Friday, "miraculously" causing no injuries, security officials said. The small plane carrying six soldiers from Entebbe airport to neighbouring South Sudan was forced to turn back due to bad weather and then land on a highway around 40 miles from the airport after running out of fuel.

"Nobody was hurt. There were eight passengers including the pilot and co-pilot," said Paddy Ankunda, Uganda's army spokesman.He attributed the lack of casualties to Uganda being "full or miracles".

"Definitely there must have been a bit of luck. A highway is not a place for aeroplanes so they were lucky to find no vehicles," he added. It was unclear why the military personnel were heading to South Sudan - the world's newest country in the grips of a civil war - and US Embassy staff were not available for comment. "In the airspace in South Sudan it was established that the weather was actually bad and it affected the visibility and the pilot was not able to trace its way", Freddy Enanga, Uganda's police spokesman, told The Telegraph.

"The fuel that they had actually ran out at a village calked Kiwawu along Kampala highway." "The pilot soft landed there in the middle of the road. There was no traffic there which enabled him to land safely," he said. "It's a major highway - but it's not as busy as Entebbe highway."


Emergency teams from Entebbe International airport were quickly dispatched to refuel the fixed-wing craft so that it could return to base, Enanga said. Ankunda said that this was the second time a plane had landed on one of the roads between Kampala and Entebbe. He said that last year, a plane flown by an American also crash landed but with no casualties.

 
Jamn wana Jf kulikoni tena kilichotokea huko Uganda kwa ndege iliyobeba wamarekani 6 kutua katikati ya barabara ?
 
Kweli dat y sijajua chanzo n nn hasa japokuwa chanzo cha habar yng kinasema ndege hyo ilipatwa n hitilafu dat y ikatua ghafla katika barabara
 
...asa bwanamdogo tukueleweje, unauliza au unaleta taarifa ?unasema imeanguka kisha unatanabaisha kuwa imetua ghafla,which is which sasa...
 
Baada ya habari za ndege ya Malaysia airline
hivi sasa ajali nyingine imetoka karibu kabisa
na Tanzania ambapo ni nchini Uganda. Ndege
hiyo ambayo ilikuwa imebeba wanajeshi 6 wa
Marekani wakitoka Entebe kuelekea South
Sudan imetua kwenye barabara ya magari
baada ya hitilafu kutokea ikiwa hewani.
Lakini kwenye hii ajali hakuna aliyepata
majeraha au kufariki kutokana na taarifa ya
msemaji wa polisi nchini Uganda.
 
Back
Top Bottom