Utani mwingine ni wa ngumi, huwezi kumbeza Mrusi kiasi hicho na hili USA analijua na linamnyima usingizi kwani ndiye mpinzani pekee.Mkuu mimi nimecheka sana baada ya kusoma hilo bandiko.
mkuu haijaonekana, yameonekana mabaki..Haijapotea imeonekana. But for me I remain speechless. !!!
Hahaa Ndege zinapotea kama nati ya saa [emoji36]Lile nalo linanishangaza mpaka hii leo.
Ndiyo. Kwa mimi naichukulia kama ajali nyingine, ingawa more than 50% ya ajali zote za ndege duniani zimegunduliwa kuwa ni makosa ya kibinaadamu Zaidi ya kiufundi. Na kwa mujibu wa habari za kuaminika, si mara ya kwanza kwa ndege hizo za kijeshi kufanya safari hizo za Syria kwa kuwa wana kituo chao cha kijeshi na mara zote huwa inasindikizwa na ndege mbili za kivita.
Naona.maneno yamekuponyoka mkuu?Me too,
Lakini ndege kubwa vile inapoteaje aisee?
Naona.maneno yamekuponyoka mkuu?
Iliyokua imebeba wanabendiNdege ya jeshi na ilikuwa ikielekea Syria. Bado hatuja unganisha doti tu.
AseeeNadhani imefanywa kuonekana kama ni technical problem lakini si kweli.
Hii ni ile indirect way ya kulipiza kisasi
ambayo Obama
mwenyewe aliisema,Putin Mwenyewe anajua hivyo.
Ilikua na wanamuziki wanaenda kutumbuiza wajeda wezao SyriaNdege imedondoka
Hahaa Ndege zinapotea kama nati ya saa [emoji36]
Hahahaaa........kweli JF is stree free. Nimecheka sn. Wazungu ni zile darubini zao wameshindwa kujua mh17Hahaa Ndege zinapotea kama nati ya saa [emoji36]
Yuko wapi Sikh hizi?namuwaza Edward Snowden.......
Yupo Russia anakula mpungaYuko wapi Sikh hizi?