Ndege ya tatu aina ya Bombardier Kuwasili nchini Mwezi huu

Bombadier nyingine ya 3 kuwasili nchini mwezi huu, Serikali imeshatenga Sh. Bilioni 500 kwa ajili ya malipo ya awali ya ndege nyingine 3. [HASHTAG]#Tuliahidi[/HASHTAG] [HASHTAG]#Tunatekeleza[/HASHTAG]
View attachment 526212
Sisi watumishi wa serikali hatujaongezewa mishahara kwakuwa raisi wetu mtukufu aliwaita viongozi wetu wa vyama vya wafanyakazi hapo ikulu . Ilikuwa ni wiki moja kabla ya may mosi, aliwaita na kuwapa kitu kidogo nyumba, viwanja, pesa nk. Ili wamkalie kimya huku aliendelea kukiuka mikataba ya ajira. Hili tunalijua na hata anunje ndege laki moja kwa pamoja lakini ajue tunafanya kazi huku tumemgomea.
 
Utakuwa unamamtamani wewe na familia yako sio mataifa mengine. Mtu anavuruga nchi kwa kutokufuata sheria wewe unasema tunamtamani? Twambie zile ndege za kwanza zilizo nunuliwa ni salama kwa usafiri wa binaadamu angani? Nani wa kumhoji wakati taratibu za manunuzi hazijafuatwa?
 
Nchi imekaa bila ndege kwa muda sasa lkn haikuwa issue. mchango wa ndege kwa maendeleo ya nchi sio mkubwa kivile. Boresheni umeme, kilimo, mifugo na uvuvi ili mwananchi wa kawaida aneemeke. mtaelewa 2020
 
Nchi imekaa bila ndege kwa muda sasa lkn haikuwa issue. mchango wa ndege kwa maendeleo ya nchi sio mkubwa kivile. Boresheni umeme, kilimo, mifugo na uvuvi ili mwananchi wa kawaida aneemeke. mtaelewa 2020
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…