Ndege ya Rais wetu ipo Wapi?

Gereji? ile si ilikuwa mpya kabisa
Hauna..... haja ya kujua... lengo lako na akili yako imekaa ki upinzani.... kama hautaki majibu haya baasi elezea unachokitaka weww....

Umeleta thread unauliza ndege iko... wap.. unabiwa iko gerej unaktaa unasema ilikua mpya.... kwan kitu kipya hakiend gerej....

Basi jijibu wewe mwenyewe
 
Poleni na mjadala wa Katiba; mimi leo nimeota rais akiwa anapanda ndege imeandikwa Tanzania Air Force One; akielekea nje ya nchi; Nikiwa njiani kuja hapa kibaruani kwangu nikawaza maswali mengi tu bila kupata majibu sahihi; Je ndege hii ipo wapi? Je ina hali gani kwa sasa? Je ilishawahi kufanya safari ngapi nje na ndani ya nchi? ilinunuliwa bei gani? Nikifika aiport yetu huwa najitahidi sana kuangaza angaza ili walau niione lakini wapi? anyejua anijuze maana mali hii ni yetu sote watanzania.
images
images
images
Ule tuliokula nyasi?
 
Back
Top Bottom