Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,535
- 8,620
Ina maana ndege ya precision kutua Mbeya imekuwa kama ujio wa papa Benedicto kwa wana Mbeya mpaka wakusanyane hivo,inekuwa Mwanza kila ikitua wanakusanyika hivo na kucheza ngoma mbona kazi zingekuwa hazifanyiki,mbona ile ya rais ilitua lakini hatukuona shamrashamra kama za leo
Dodoma na Iringa lini? Tumechoshwa na Shabiby..!
Sie tuliokuwa tunalazimika kusafiri kwa masaa 10 kufika Mbeya toka Dar tunajua umuhimu wa kuanza rasmi kwa safari hizi Mbeya.
Sie tuliokuwa tunalazimika kutumia USD 290 karibu 415,000 one way kwa kufika Mbeya kwa FlyLink au Auric tunajua umuhimu wa kuanza kwa safari hizi za leo kwa Tsh 165,000.
Wananchi wa Mbeya walisubiri kwa muda mrefu sana kuifikia siku ya leo,wana haki ya kushangilia na sie tulio mbali lakini tutanufaika kwa hili tunafurahi pamoja nao.
Vichekesho hivi.........ndege ya kibiashara inatua watu mnatoka maofisini kwenda kuichezea ngoma?
Wakati Scandinavia ilipoanza safari kwenda mbeya mbona hamkuichezea ngoma pia.
Bado sana - hayo matumizi ya fedha hapo nani amelipia?
Au ndo zile fedha kutangaza maendeleo ya CCM??
BADO SANAAAA!!!
Miafrica tunapenda kufanya mambo ya hovyohovyo tu!
Hii ni nini sasa....
Mkuu Shirima siyo Mkurugenzi Mtendaji wa Precission Air bali ni mwenyekiti. Mkurugenzi Mtendaji anaitwa Kioko.
Tunataka Fast Jet nao waanze kupeleka ndege zao MBY
tuwaunge mkono precisionair kwani ni shirika la wazawa kuliko fastjet ya wazungu
Mkuu Shirima siyo Mkurugenzi Mtendaji wa Precission Air bali ni mwenyekiti. Mkurugenzi Mtendaji anaitwa Kioko.
Kioko ameresign.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Haahahahahaaa.........acha chuki kwani kuna cent yako imetumika kwenye kusheherekesha? na ina maana hujui umuhimu wa usafiri wa ndege kwenye kurahisisha usafiri kwa wafanyabishara wa mkoa wa Mbeya?
Kajiuzulu Mwezi jana. Kaitumikia Pw kwa zaidi ya miaka 10Oh thanks that is news. Lini alijiuzuru?
Kwangu mimi nafuu nipande Air Tanzania kuliko Precision. wazawa ni ATCL.
Na kama giraffe amekufa, basi nitamuendea kasuku, maana unafuu wake ni mara kumi zaidi ya Precision wanyonya pochi.
Ile ni KQ ndogo tu, sema hujui.