Ndege ya precision air yatua uwanja wa kimataifa wa songwe mbeya ni safari yake ya kwanza,yapokelewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndege ya precision air yatua uwanja wa kimataifa wa songwe mbeya ni safari yake ya kwanza,yapokelewa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by nngu007, Jan 16, 2013.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2013
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  [h=2]WEDNESDAY, JANUARY 16, 2013[/h]

  [h=3] [/h]

  [​IMG]
  NDEGE YA PRECISION AIR IKIWA INAWASILI KATIKA UWANJA WA KIMATAIFA WA SONGWE MBEYA MUDA HUU
  [​IMG]
  MUELEKEZAJI AKIWA ANAELEKEZA WAPI NDEGE YA PRECISION AIR IPATE KUSIMAMA
  [​IMG]
  VIONGOZI MBALIMBALI YA SERIKALI WAKIWA WANANGOJA MAPOKEZI YA NDEGE YA PRECISION AIR AMBAYO NDIYO INAANZA SAFARI ZAKE ZA KWANZA MKOANI MBEYA
  [​IMG]
  NDEGE YA PRECISION AIR MUDA MUCHACHE KABLA YA ABIRIA HAWAJAANZA KUSHUKA
  [​IMG]

  [​IMG]
  ABIRIA WAKIWA WAMEWASILI SALAMA NDANI YA UWANJA WA KIMATAIFA WA SONGWE MBEYA .
  PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG.. ENDELEA KUFUATILIA TONE MULTIMEDIA GROUP TUPO LIVE ENEO LA TUKIO  [​IMG]
  KIKUNDI CHA NGOMA KIKITUMBUIZA MUDA MCHACHE BAADA YA NDEGE KUWASILI
  [​IMG]


  [​IMG]
  VIONGOZI WA SERIKALI PAMOJA NA WADAU MBALIMBALI WAKISHUHUDIA UJIO WA SAFARI ZA KWANZA ZA PRECISION AIR MKOANI MBEYA KATIKA UWANJA WA KIMATAIFA WA SONGWE.
  [​IMG]
  KILA MWANDISHI ANAJITAJIDI KUPATA PICHA NZURI YA NDEGE
  [​IMG]
  WAFANYAKAZI WA PRECISION AIR WAKIWA WAMEPENDEZA MUDA HUU KATIKA UWANJA WA KIMATAIFA WA SONGWE MBEYA
  [​IMG]
  BURUDANI BADO INAENDELEA HAPA
  [​IMG]
  VIONGOZI WA SERIKALI PAMOJA NA WADAU MBALIMBALI WAKIWA WANATAZAMA KWA UMAKINI NGOMA YA ASILI IKITUMBUIZA
  [​IMG]
  HII NI MEZA KUU
  [​IMG]
  NAO WAKAZI WA SONGWE MKOANI MBEYA WAMEFIKA UWANJA WA NDEGE KUSHUHUDIA JINSI NDEGE YA SHIRIKA LA PRECISION AIR ILIPO TUA ENEO HILO.
  [​IMG]
  MKUU WA WILAYA WA MBEYA MHESHIMIWA NORMAN SIGALA, AKIONGEA MUDA BAADA YA NDEGE KUWASILI
  [​IMG]
  MKURUGENZI MTENDAJI WA PRECISION AIR NDUGU SHIRIMA AKIONGEA NA WAGENI WAALIKWA PAMOJA NA WANANCHI WALIO JITOKEZA KATIKA KUPOKEA NDEGE HIYO AMBAYO INAANZA SAFARI ZAKE ZA KWANZA MKOANI MBEYA NA KUWASHUKURU KWA MAPOKEZI HAYO.


  PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2013
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Haya IRINGA next...
   
 3. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2013
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,111
  Likes Received: 4,675
  Trophy Points: 280
  Kweli CCM inatekeleza ahadi zake kwa vitendo. Where and what next?
   
 4. G

  Getstart JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2013
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 5,271
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Mkuu Shirima siyo Mkurugenzi Mtendaji wa Precission Air bali ni mwenyekiti. Mkurugenzi Mtendaji anaitwa Kioko.
   
 5. L

  Lwesye JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2013
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 5,297
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ha ha mbeje
   
 6. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2013
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,885
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  It should come also to Songea from Mbeya.
   
 7. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2013
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,885
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  Ahadi gani imetekeleza?
   
 8. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2013
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nafuu nafuuu, smart travel.....................
   
 9. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2013
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nilidhani ni ndege ya ATCL ndo imetua huko!
   
 10. F

  FUSO JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2013
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 10,725
  Likes Received: 1,144
  Trophy Points: 280
  Wapi AIR TANZANIA mwakyembe??
   
 11. F

  FUSO JF-Expert Member

  #11
  Jan 16, 2013
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 10,725
  Likes Received: 1,144
  Trophy Points: 280
  nimeshangaa pia precision air kupokelewa kitaifa as if ni national airline duh!! - nguvu ya pesa!!
   
 12. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2013
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,606
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  this is not breaking news
   
 13. KABOBA

  KABOBA JF-Expert Member

  #13
  Jan 16, 2013
  Joined: Jan 8, 2013
  Messages: 210
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona meza kuu simwoni mbunge ? au hakualikwa?
   
 14. mtz one

  mtz one JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2013
  Joined: Dec 25, 2012
  Messages: 3,833
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 180
  mkuu habari yako mbona sio mahali pake hapa unatuvuruga
   
 15. F

  FUSO JF-Expert Member

  #15
  Jan 16, 2013
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 10,725
  Likes Received: 1,144
  Trophy Points: 280
  nimeshangaa pia precision air kupokelewa kitaifa as if ni national airline duh!! - nguvu ya pesa!!
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Jan 16, 2013
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,424
  Likes Received: 15,619
  Trophy Points: 280
  Tunataka Fast Jet nao waanze kupeleka ndege zao MBY
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Jan 16, 2013
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,407
  Likes Received: 5,669
  Trophy Points: 280
  hivi hii precision ndo shirika la ndege la taifa eeeh?:confused2:
   
 18. k

  kiparah JF-Expert Member

  #18
  Jan 16, 2013
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,176
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Picha zimeshake ulikuwa unapiga kwa simu?
   
 19. betlehem

  betlehem JF-Expert Member

  #19
  Jan 16, 2013
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 7,234
  Likes Received: 1,773
  Trophy Points: 280
  Safi sana.hii ni hatua nzuri katika suala zima la maendeleo ya sekta ya usafiri wa anga.ila hao viongozi hapo juu wamesimama chini ya bawa la ndege kitu ambacho ni kinyume na kanuni za kiusalama.yaani wabongo aisee!
   
 20. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #20
  Jan 16, 2013
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,899
  Likes Received: 8,391
  Trophy Points: 280
  Hivi hizo ngoma ni zan nini sasa? yaani wanaichezea ngoma ndege? hawana kazi? Hivi Precision Air ni ndege ya serikali? Maana hapo tuna-promote biashara ya mtu binafsi huku za kwetu zikipasuka vioo as if ni Bajaj. MANI njoo huku uone maajabu watu wananengulia ndege, kule kwetu Lushoto hatuwezi kuichezea ndege hivi bhana muulize zumbemkuu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...