hata m nadhani mda si mref undege itaonekana nabii yuko sahihi
Lakini si ndo law of floation inavyosema.
hata m nadhani mda si mref undege itaonekana nabii yuko sahihi
Lakini si ndo law of floation inavyosema.
Samahani, hivi Tanzania tuna manowari na madege ya kivita kwa aajili ya uokoaji wa maafa ya baharini? Naomba kujuzwa. Maana hii ya Unguja-Dar na meli zetu hizi mmmmh?
Usinichekeshe...ndege zenyewe wanazoita za kivita ni zile za kunyunyizia dawa za wadudu kwenye mashamba ya pamba huko magu sembuse manowari!
Hili suala limeniacha na maswali mengi sana mosi kuwa hivi inawezekana kweli dunia ya leo iliyojaa sayansi na teknolojia kushindwa kutambua hiyo ndege imepotelea wapi? hivi hili ni tatizo la mara kwanza kutokea? kama ilishawai kutokea lina tofauti gani na hili? kama ugaidi unausika ndege hiyo inaweza tua sehemu bila taarifa za kiitelejinsia? katika mazingira hayo uwezekano wa kuwakuta hai hao abilia upo kweli, so sad

Hivi kwa mfano ikipaa juu zaidi zaidi ingeishia wapi? Au labda Ndio imepotelea huko juu? Maana kama chini hakuna basi labda ilipandishwa juu zaidi! Kwani ingezuiliwa? Please seriously sielewi mwenye ufahamu na hili
to travel.Tusubirie leo11/3/2024 kwa matumizi makubwa ya satelite za kichina na US Navy pengine watagundua ilipo kwani nguvukazi zaidi imeongezwa angani, nchi kavu, na baharini pia.
"The U.S. Navys 7th Fleet is using a P-3C Orion marine surveillance aircraft to search in the northern section of the Strait of Malacca today"
Tu-assume imepotelea sayari nyingine.hivi kweli satelite zote zilizoko angani zimeshindwa kuiona hii ndege siku zote hizo?