Ndege ya ATCL yarudi Mwanza baada ya kuruka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndege ya ATCL yarudi Mwanza baada ya kuruka!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Jun 10, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,219
  Likes Received: 5,617
  Trophy Points: 280
  habari zilizotufikia punde dege la airtanzania limerudi mwanza muda mfupi baada ya kuruka...tatizo halisi alijaelezwa na hakuna anaekuwa tayari kuelezea usiku huu wamanane hapa mwanza ila muda si mrefu ndugu yangu aliekuwa abiria ataniabalisha zaidi
  habari zaidi za kuhuzunisha ndege nyingine iliobaki nayo mbofu toka majuzi wakibaki na ndege moja......hili shirika hata aje malaika wa mbinguni sijui kama lina muelekeo
   
 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  jamani jamani...pole kwa niaba ya ndugu yako..nikikumbuka air france sina hamu kabisa na ATC...hao naona watafuet bail out tu ya JK au hajatamka alipokuwa anahutubia wazee leo?
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Nawapongeza pilot and crew member kwa kugundua tatizo na kugeuza njia...
   
 4. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  waziri mwenyewe alishakiri kuwa NDEGE ZA ATC ni mbovu na bado zinaruka tuuu sasa mnashangaa nini?
   
 5. t

  tishekwavb Member

  #5
  Jun 11, 2009
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 8
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naungana na mdau aliyewapa pongezi Marubani kwa kundua dosari na kurudisha ndege Mwanza. Ila nawashangaa wale wanaolaum maana labda walitaka aende hivyo hivyo mpaka mwisho wa safari. Jamani ndege siyo Air Msae, ukigundua kasoro mpaka engineer akubali iende Certification vinginevyo hairuki.
  Ningependa wale wasafari wanaopenda kufika haraka katika mambo ya ndege haiendi hivyo ukitaka haraka unakimbilia kuzimu.
   
 6. B

  Bobby JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,682
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Tishe hakuna anayelaumu rubani na wasaidizi wake hapa, I suppose hukusoma vizuri comments zao. Wanacholaumu wao ni serikali na uongozi wa ATC. Haiingii akilini kwamba waziri amekiri ndege za ATC ni mbovu na still zinaendelea kuruka. Hii kweli ni nchi ya miujiza. Hivi ikiua watu tutashangaa wakati tumekwsihakiri kwamba ndege ni mbovu? Ama kweli hii ndio Tanzania, mambo yake kuyaona kwingine ni nadra sana.
   
 7. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2009
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  :(Tataizo la ATCL linatokana na serikali kutokuwa na political will ya kulifufua shirika hilo ili liwe competitive, hasa tangu awali kuachwa mianya iliyowafanya hata akina Mramba huku akiwa na waziri wa fedha, kuwa na hisa katika shirika pinzani la precission air...unatarajia nini si kama dhamira ni kuiua ATCL ili Precission itwae soko la ndani na nje!!.
   
 8. m

  mwagala New Member

  #8
  Jun 12, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa niliyoipata ni kwamba ndege iliporuka ilionesha "engine oil pressure" iko low na msukumo wa engine pia uko low. Taratibu za uendeshaji wa ndege zinamtaka rubani azime engine na kutua katika kiwanja kilichopo karibu. Hivyo ndivyo alivyofanya rubani.

  Mafundi walisafiri jana kwenda Mwanza kuangalia tatizo ni nini. Kwa mujibu taratibu za kiufundi katika tukio kama hilo mafundi wanatakiwa kwanza kuangalia engine oil. Engine oil ilikuwepo ya kutosha.Leo wtaendelea na uchunguzi wa kina kubaini tatizo ikiwa ni pamoja na kufugua oil pump na kuzungusha engine manually ili kuona kama tatizo ni fuel pump – hiyo ndio hatua ya pili kwa mujibu wa maelekezo ya kiufundi.Ndege nyingine ni nzima na inafanya kazi kama kawaida.

   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  He!!! yaani ndege bado iko mwanza??????????? Yesu rua!!
   
 10. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #10
  Jun 12, 2009
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  halafu huyo huyo ambae ulimueka hapo mkatuambia amakuja kufufua shirika na badala yake ndio kalimalizia unaena kumpa TIB....sijui tunaenda wapi
   
 11. Baridijr

  Baridijr Member

  #11
  Jun 12, 2009
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni aibu kwa serikali kuwa na ndege mbovu kama hizo
   
Loading...