Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,499
- 113,605
Wanabodi,
Leo nikiwa abiria wa ndege yetu kwenda Bukoba, ndege imecheleweshwa for 45 good minutes kwa sababu zilizo nje ya uwezo wa ATCL, ikiwemo baadhi ya abiria, ambao walifika on time, akiwemo waziri mmoja, lakini wakajikuta wakicheleweshwa kucheck in, kulikopelekea ndege kuchelewa kidogo tuu kwa dakika 45!.
Uzalendo ni pamoja na kuwa mkweli daima when things are not right, binafsi, my number one choice ya ndege ni ATCL, nitapanda ndege nyingine kwenye zile routes tuu ambazo ATCL haiendi.
Saa hizi ndio tunaondoka.
Abiria Mtiifu wa Bombadia
Paskali
=====
Update:
Tumefika salama, tukiwa njiani, Cabin Crew aliomba msamaha, na baadae Captan pia akaomba msamaha, na kwa bahati nzuri, pale Mwanza hakuna abiria aliyekuwa na connecting flight kusema uchelewaji huo, umemuathiri saana kivile, labda mimi tuu, nilichelewa kuwa registered kwa ziara fulani, lakini kesho tutakuwa wote Mutukula.
Nimezungumza na CEO wa ATCL, Mr. Ladislaus Matinde, akiwa nchini Canada, amenifafanulia kilichotokea, na nimemuelewa, ni kuwa tulichelewa kwa sababu zilizo nje ya uwezo wa ATCL.
Pole sana Mhe. Waziri na abiria wengine wote uliocheleweshwa kuchekiwa in.
Poleni sana ATCL, kwa watu wa check in kuwachelewesha. Hili ni shirika letu, tulipende na kulitumia.
Asante sana Mr. Matinde kwa Ufafanuzi.
Mods for the sake of uzalendo wa taifa letu na kujenga a good image ya shirika letu, nashauri huu uzi sasa ufungwe, tuendelee na shughuli nyingine za kulijenga taifa letu.
NB. Nimeshauri na sijaamuru.
Asanteni