Nikilewa mniache
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 19,276
- 51,861
Ebwana huyu ndege anatambulika kama hamerkop, ni ndege katika familia ya kunguru au korongo au wote au kwa kifupi ni wa kipekee. Ni ndege anayejenga kiota cha ukubwa wa Toyota Probox au Noah. Kisha huendelea kukusanya kila kitu na kukitia humo ilihali havimsaidii š
Yani unaweza kufumua kiota chake hadi ukachoka kwa namna kilivyo kikubwa.... Inasemekana akiishi karibu na mazingira ya watu utakuta hadi vikombe, vipande vya vyuma, vipande vya mafuvu ya wanyama na mengine kibao.
Maisha yake ni kama amepewa adhabu ya kukusanya tu vitu hadi kufa kwake... Akitoka kula anaingia kukusanya chochote na kwenda kukiweka mahali palepale mpaka mauti yanapomkuta
Soma habari ya kiingereza hapa chini ndio utajua kwanini wazungu wamemfananisha huyu ndege na viongozi wa CCM
Hamerkop is a bird in the family of crows or ravens, cranes or all or none. It is a bird that builds a nest the size of a Toyota Probox or Noah. It then embarks on a mission to fill the nest with stuff. Unnecessary Old metallic cups, old ropes for tethering cow, bicycle sprockets and broken shimta, axe heads, ancient cattle skulls that has defied dogs for millennia, broken pots, broken fork-jembe tines..... stuff. Stuff that will never help the bird or its family in any way. It is as if the bird is condemned to a life of perpetual kleptomania. Stealing and hoarding stuff that will never help it in its lifetime.
This bird is a close relative of most African leaders. You see, they steal billions of shillings and stash them in safe havens (banks) abroad, a Namulobi's nest of some sort.
They don't get to spend even a one-million of that wealth in their lifetime. They also grab thousands and thousands of acres of land. Land that they will never put to use. Land where only Chikhisi (antelopes) Chinjusi (Foxes) recides. They are condemned to a life of perpetual kleptomania just like the bird though the bird has a brain smaller than that of a plankton.
The size of Namulobi's nest can be compared to the palaces our strongmen build. Big, unnecessary and extravagant Mansions that don't benefit them.