Mi naona ni ndege nzuri hususani kwa safari za ndani ya nchi hasa ukizingatia kuwa matumizi ya mafuta ni ya chini ukilinganisha na ndege za jet engenes hii itasaidia ku lower operations costs za ndege. Pamoja na uzuri wa ndege, sina hakika sana kama suala hili lilikuwa ni la kipaumbele sana. Naamin kabla ya kufikia maamuzi haya Serikali ilijiridhisha kuwa manunuzi haya hayataathiri mipango mingine ya Serikali.
Maigizo haya ni shida! Zile 11 na moja za Nyerere alikufa nazo mbona hamtwambii? Mnashangilia upuuzi kama huu,mnapiga hatua mbili,mnarudi tano nyuma mnashangilia,ni aibu ya miaka CCM ni matatizo.