Ndege Mpya ya ATCL katika picha

Ndege Mpya ya ATCL katika picha

allymauya

Member
Joined
Sep 1, 2016
Posts
6
Reaction score
1
Ndege umeshafika
1474384598541.jpg
1474384617404.jpg
1474384631850.jpg
1474384649290.jpg
 
Shirikisha na ubongo wako mkuu, we were biting more than we can chew, unajua kwa nini tulishindwana na hiyo ya juu??
Kwanini eti mtaasisi. Kwa hiyo hii tutaiweza? Mwendokasi tuu zilikua hazina mafuta juzi kati hapo.
 
Nyakati zimebadilika, nani alikwambia mwendokasi hawakuwa na mafuta?? Na udart inaendeshwa na serikali?? Hujui unachokiongea!
Kwanini sasa serikali isingenipa mtu mwenye pesa kama mimi? Kwa hiyo ataukishikiwa bastola hapo utakiri kwamba Udart haina mapungufu?
 
Back
Top Bottom