ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,803
- 60,649
Biashara ngumu Kwa sasa mjanja mimi akaunti Inasoma huku kiwango cha kutumia kikiongezeka na huku pia kiwango cha ubahili kikiongezeka.Daaa mkuu ushakata tamaa
Ujawai bet?Ambao hatujawahi bet tujuane
Sijawahi kbs! Juzi Kuna mdada alisema over 2.5 nkaumuulz jamaang ndo akanambia maanake nnUjawai bet?
Aise kumbe mpoSijawahi kbs! Juzi Kuna mdada alisema over 2.5 nkaumuulz jamaang ndo akanambia maanake nn
Marafiki zangu wengi hawabeti ila Kuna Moja ni kama wakala wa shetani league zikisimama anabeti hadi michezo mingineAise kumbe mpo
Huyo ni mimi mkuu nabeti mpaka tennisMarafiki zangu wengi hawabeti ila Kuna Moja ni kama wakala wa shetani league zikisimama anabeti hadi michezo mingine
Ulisha wahi kulima mazao? 😀Sijawahi kbs! Juzi Kuna mdada alisema over 2.5 nkaumuulz jamaang ndo akanambia maanake nn