The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,689
- 2,861
Wakuu habari!!
Wiki iliopita niliona documentary Nat Geo. Kuna ndege ya Canada 2001..ikiwa na abiria ilipata hitilafu angani na injini zote zilizima lakini pamoja na hayo iliweza kutembea kilometre 100 na kutua Salama uwanja wa ndege.
Sasa sijaelewa ni ilikuwaje ikafanikiwa kuendelea na safari bila injini???
Naomba kujuzwa.
mmm sina uhakika na hilo maana itakuwaje injini zote zizime wakati hutumika mojamoja?
hata ivyo injini ikizima ndege huendelea na safati kwa mda mfupi tu.
Hivyo inawezekana, ila hapo kwwnye kusema injini zote zilizima mmm
Mhhh hapo siwasomi kabisa, nini kitaiwezesha kutembea pasipo injini kufanya kazi jamani
Speed ambayo ilikuwanayo mwanzo.
Lakini haitaweza kuendelea na speed ile ile katika level moja.
Ndege ya Obama ndo huwa ina niumiza sana kichwa kujua backup system yake ikoje, mana secret service wako makini sana.
Unataka kujua system ya ndege ya obama ukiwa kama nani?
Mbavu za nguuuuu!!!!!!! Majibu mengine! Niswsli ila la moto .na wewe unahoji kama nani? au wewe ni Michelle? hovyo kabisa wewe.
Speed ambayo ilikuwanayo mwanzo.
Lakini haitaweza kuendelea na speed ile ile katika level moja.
Ndege ya Obama ndo huwa ina niumiza sana kichwa kujua backup system yake ikoje, mana secret service wako makini sana.
Wakuu habari!!
Wiki iliopita niliona documentary Nat Geo. Kuna ndege ya Canada 2001..ikiwa na abiria ilipata hitilafu angani na injini zote zilizima lakini pamoja na hayo iliweza kutembea kilometre 100 na kutua Salama uwanja wa ndege.
Sasa sijaelewa ni ilikuwaje ikafanikiwa kuendelea na safari bila injini???
Naomba kujuzwa.
Speed ambayo ilikuwanayo mwanzo.
Lakini haitaweza kuendelea na speed ile ile katika level moja.
Ndege ya Obama ndo huwa ina niumiza sana kichwa kujua backup system yake ikoje, mana secret service wako makini sana.
kuna kichumba special kwa rais,ndege ikipata hitilafu na haiwezi okolewa wanamkimbizia humo,kisha chumba kinajidetach(kujitenga) na ndege na kuanguka pekee yake kikiwa suppoted na miamvuli kupunguza kasi ya impact kitapoanguka chini.
ikizima injini kinachofatia ni kifo hata kama una hirizi
=gravitation force....itaendelea huku ikipungua ''height'' mdogo mdogo.mhhh hapo siwasomi kabisa, nini kitaiwezesha kutembea pasipo injini kufanya kazi jamani
Bora umewapa jibu ila ikapata hitirafu harafu yuko iraq au syria watu wata shangilia sana
Mhhh hapo siwasomi kabisa, nini kitaiwezesha kutembea pasipo injini kufanya kazi jamani