Ndege iliyonunuliwa na Serikali aina ya Boeing 787-8 Dreamliner imeondoka nchini Marekani, kutua nchini Oktoba 26 saa nane mchana

Nyie ndio wapumbavu, ambao bado mnadhani uchumi utakuwa kwa kumiliki ndege.
Umeingia choo cha kike nawaambia.
wacha tuingie choo cha kike tu wewe unanufaika na nini na rohoyako mabaya ya kuichukia nchiyako isiendelee?
 
Tunataka maji.. hayo machuma hayatu saidiii chochote huku vijijini
Ndege mpya iko angani mda huu licha ya baadhi ya viongozi kukanusha. Kumbe wanaogopa wanaotudai wasijekulikamata likutua huko majuu kujaza mafuta. Kesho litatua bongo

View attachment 1244877
View attachment 1244878
View attachment 1244879
View attachment 1244880

Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili.
Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana.
Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli.
View attachment 1244780
 
imenunuliwa bei gani? atununulie vibasi vingine vya mwendokasi tunabanana sana
 
Ndege mpya iko angani mda huu licha ya baadhi ya viongozi kukanusha. Kumbe wanaogopa wanaotudai wasijekulikamata likutua huko majuu kujaza mafuta. Kesho litatua bongo

View attachment 1244877
View attachment 1244878
View attachment 1244879
View attachment 1244880

▪Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili.
▪Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana.
▪Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli.
View attachment 1244780
WSerikali haina Co-ordination, kila mtu anafanya kazi kwa hofu.
Shirika ATCL limetangaza ujio wa ndege, waziri anakanusha na kuagiza mtu wa shirika, tehama, akamatwe kwa kutoa hiyo tarifa, siku mbili baadae MSEMAJI WA SERIKALI ANATANGAZA NDEGE KUJA , sijui kitu gani kimempata huyu waziri, yaani zero brain, jimboni kwake hakuna kitu amefanya, yupo yupo tu anahangaika na vijitu vidogo vidogo.

Imefahamika kwamba, walitaka Jiwe ndio awe wa kwanza kutangaza hiyo ndege ili apewe attention na headlines kwenye mediaas, sasa kakosa imemuuma roho.

tutaelewana tu
 
Hata tetea huwa wanajua kuwa kumekucha lakini jogoo ndiyo mwenye mamlaka ya kutangaza.
dadadeki, Jogoo anataka apate headlines kwenye magazeti, ilimuuma sana alipokuta mtetea kawika na watu wote wanamsikiliza, ila ishi na wazazi uwajue watakalo, kama ni kusifia msifie hata "akijamba" kama wafanyavyo MATAGA
 
WSerikali haina Co-ordination, kila mtu anafanya kazi kwa hofu.
Shirika ATCL limetangaza ujio wa ndege, waziri anakanusha na kuagiza mtu wa shirika, tehama, akamatwe kwa kutoa hiyo tarifa, siku mbili baadae MSEMAJI WA SERIKALI ANATANGAZA NDEGE KUJA , sijui kitu gani kimempata huyu waziri, yaani zero brain, jimboni kwake hakuna kitu amefanya, yupo yupo tu anahangaika na vijitu vidogo vidogo.

Imefahamika kwamba, walitaka Jiwe ndio awe wa kwanza kutangaza hiyo ndege ili apewe attention na headlines kwenye mediaas, sasa kakosa imemuuma roho.

tutaelewana tu
Hili swala la kukurupuka eti nani anatangaza ujuo wa ndege kwakweli waziri kachemsha
Nini maana ya habari za kichunguzi wayani watu wasijue ujio wa ndeg!!!!
 
sasa hivi tanzania mpaka raha lakini nashangaa humu jf kunawatu wana commet za ajabu inaonyesha tu kuwa hawapendi yaani roho inawaumaaaaaaaa na watapata magonja ya moyo mwaka huu tunasonga mbele
Inaonyesha haujawahi hata kuikaribia ndege
 
Kumbe wanaogopa wanaotuda wasijekulikamata likutua huko makuu kujaza mafuta Hii sababu imekosa viwango vyote vya weledi
Kilichotakiwa ni tension kwa wananchi na hasa wale Roho Mbaya, wanao tamani kusikia mambo mabaya kwa Taifa
 
Back
Top Bottom