wacha tuingie choo cha kike tu wewe unanufaika na nini na rohoyako mabaya ya kuichukia nchiyako isiendelee?Nyie ndio wapumbavu, ambao bado mnadhani uchumi utakuwa kwa kumiliki ndege.
Umeingia choo cha kike nawaambia.
wacha tuingie choo cha kike tu wewe unanufaika na nini na rohoyako mabaya ya kuichukia nchiyako isiendelee?Nyie ndio wapumbavu, ambao bado mnadhani uchumi utakuwa kwa kumiliki ndege.
Umeingia choo cha kike nawaambia.
Ndege mpya iko angani mda huu licha ya baadhi ya viongozi kukanusha. Kumbe wanaogopa wanaotudai wasijekulikamata likutua huko majuu kujaza mafuta. Kesho litatua bongo
View attachment 1244877
View attachment 1244878
View attachment 1244879
View attachment 1244880
Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili.
Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana.
Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli.
View attachment 1244780
Sio mabeberu tena?
Macho yako labda yatakua makengeza au kuna waya kichwani tayari umeshachomokaMbawa zake mbona Kama ziko upande? Zile terrible teen zimeisha store? Hii Ni ile ya nyongeza?
Simchimbe malambo, hela za kulipa bill za maji mnazo?Tunataka maji.. hayo machuma hayatu saidiii chochote huku vijijini
Wamsafishe yule waliyemuita muongo
100% correct1!Hata tetea huwa wanajua kuwa kumekucha lakini jogoo ndiyo mwenye mamlaka ya kutangaza.
WSerikali haina Co-ordination, kila mtu anafanya kazi kwa hofu.Ndege mpya iko angani mda huu licha ya baadhi ya viongozi kukanusha. Kumbe wanaogopa wanaotudai wasijekulikamata likutua huko majuu kujaza mafuta. Kesho litatua bongo
View attachment 1244877
View attachment 1244878
View attachment 1244879
View attachment 1244880
▪Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili.
▪Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana.
▪Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli.
View attachment 1244780
dadadeki, Jogoo anataka apate headlines kwenye magazeti, ilimuuma sana alipokuta mtetea kawika na watu wote wanamsikiliza, ila ishi na wazazi uwajue watakalo, kama ni kusifia msifie hata "akijamba" kama wafanyavyo MATAGAHata tetea huwa wanajua kuwa kumekucha lakini jogoo ndiyo mwenye mamlaka ya kutangaza.
Hili swala la kukurupuka eti nani anatangaza ujuo wa ndege kwakweli waziri kachemshaWSerikali haina Co-ordination, kila mtu anafanya kazi kwa hofu.
Shirika ATCL limetangaza ujio wa ndege, waziri anakanusha na kuagiza mtu wa shirika, tehama, akamatwe kwa kutoa hiyo tarifa, siku mbili baadae MSEMAJI WA SERIKALI ANATANGAZA NDEGE KUJA , sijui kitu gani kimempata huyu waziri, yaani zero brain, jimboni kwake hakuna kitu amefanya, yupo yupo tu anahangaika na vijitu vidogo vidogo.
Imefahamika kwamba, walitaka Jiwe ndio awe wa kwanza kutangaza hiyo ndege ili apewe attention na headlines kwenye mediaas, sasa kakosa imemuuma roho.
tutaelewana tu
Uchizi sio mpaka uvue nguo bali hata hivyo ulivyo ni dhahiri kuwa wewe ni chizi. Endelea ivo ivoGovernment of liars!
Nikae hapa niamini anything anybody says in this lying govt?
Never!
Inaonyesha haujawahi hata kuikaribia ndegesasa hivi tanzania mpaka raha lakini nashangaa humu jf kunawatu wana commet za ajabu inaonyesha tu kuwa hawapendi yaani roho inawaumaaaaaaaa na watapata magonja ya moyo mwaka huu tunasonga mbele
Nilitaka nikushangae eti nawe umeiamini.Kumbe wanaogopa wanaotuda wasijekulikamata likutua huko makuu kujaza mafuta Hii sababu imekosa viwango vyote vya weledi
Kilichotakiwa ni tension kwa wananchi na hasa wale Roho Mbaya, wanao tamani kusikia mambo mabaya kwa TaifaKumbe wanaogopa wanaotuda wasijekulikamata likutua huko makuu kujaza mafuta Hii sababu imekosa viwango vyote vya weledi