Lyetu JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 1,396 Reaction score 3,738 Jun 3, 2026 #1 Tuna maregend kibao wa mpira sisi tunakusanya watu wasiojua mpira eti wanaenda kuhamasisha. NDEGE yetu irudi na wachezaji tu.
Tuna maregend kibao wa mpira sisi tunakusanya watu wasiojua mpira eti wanaenda kuhamasisha. NDEGE yetu irudi na wachezaji tu.
P PhD JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 4,920 Reaction score 4,590 Jun 3, 2026 #2 Lile jamaa lenye hips na makalio makubwa lipande ungo kurudi ni nuksi kila aingiapo