Kama Watanzania hawataamka na kulisimamia kwa taifa lao, Mungu hatashughulika nao, na utabiri wa watabiri wote UTAPITA KAMA UPEPO.
Mungu hapendi wavivu (wa kufikiri na kutenda), hasa wale ambao nyoka anapoingia nyumbani mwao, wao hukimbilia kwa jirani kuomba msaada huku wameshika gongo (silaha) mikononi mwao.