Ndani ya Rock city


jinsia haimati wala nini,thanx mkuu i will try that out.
 

aiseee u have made me so happy,yani u have said it all.Enhe na sehemu gani ni nzuri for swimming?
 
Ukipata muda mzuri tembelea mitaa ya MAKOROBOI pale kuna yale mambo yetu ya bei poa yaani mpaka buku 1 unapewa huduma, tena unaweza hata ukala pande zote, (front & back).

Pia unaweza kufika sehemu inaitwa DAMPO kuna vitu vizuri vya bei tahisi.Tunza nako pazuri sana unaweza kutembelea... afu karibu huku kwetu jiwe kuu.
 
Pia unaweza kufika sehemu inaitwa DAMPO kuna vitu vizuri vya bei tahisi.Tunza nako pazuri sana unaweza kutembelea... afu karibu huku kwetu jiwe kuu.

kwenu kuna nini?mbona hujapanadi?
 
aiseee u have made me so happy,yani u have said it all.Enhe na sehemu gani ni nzuri for swimming?

For Swimming use to be nyumbani hotel but now unaweza kwenda Victoria Palace Hotel Kapri point, Gold Crest level 8, Malaika Beach sema mbali, Tilapia wazungu wengi...Kote uko kuna swimming za ukweli....uku unapata mvinyo.
 
For Swimming use to be nyumbani hotel but now unaweza kwenda Victoria Palace Hotel Kapri point, Gold Crest level 8, Malaika Beach sema mbali, Tilapia wazungu wengi...Kote uko kuna swimming za ukweli....uku unapata mvinyo.

ahsante sana mkuu,umemaliza. Tutaendelea kujuzana.
 
Next Time ukienda Mwanza fikia Sparrow Hotel ipo maeneo ya Ghana ni Hotel flani simple but very smart for Tshs 40,000/= unapata room nzuri sana....Kwa kula bata Villa ni pazuri ingawa wana vigharama flani visivyo na lazima so Shooterz ni best option ingawa ni bar yenye watoto wengi wa mjini wa mwanza wa kike kwa wa kiume so si nzuri sana kwa watu wa makamo kuanzia 60s...Na kitimoto ya hapo shooterz ni balaa...ukitaka michemsho nenda victoria bar ipo hapo hapo Kirumba...Hizo Kirumba Resort, Cheers, Shentembaa, na San Siro zimechoka sana zimebaki historia tu...Lakini kama ni mtu wa full muziki yaani una-enjoy kunywa beer nyingi na kwa muda mrefu sana Nenda EDEN Igoma.
 
Next Time ukienda Mwanza fikia Sparrow Hotel ipo maeneo ya Ghana ni Hotel flani simple but very smart for Tshs 40,000/= unapata room nzuri sana

Ubaya wa hapa ni mlango mmoja wa wageni na walevi...yaani hakuna mlango mwingine kama hutaki pitia pale bar...kingine walevi wakinywa wanapiga kelele hasa kale ka kikundi ka wanasheria na vijana wa bank...na slogan yao ya No Money,no time but we're happy CCM inabidi afanye renovation aweke mlango hata kwa nyuma...

Lakini kama ni mtu wa full muziki yaani una-enjoy kunywa beer nyingi na kwa muda mrefu sana Nenda EDEN Igoma.

Sikushauri igoma...as kule bana vijana wakorofi wengi...slite mistake wanavunja hata vioo vya gari...kwa kifupi no room for error...vibaka wengi.
 

Mkuu Buswelu..

Inaonekana ww hapo Sparrow huwa unaingia Bar tu...Hapo kuna milango miwili hata ukija mgeni..Mlinzi anavyokupokea Bag uwa anakupitisha ule mlango mwingine ambao unatokea moja kwa moja reception na sio huo mlango unaoufahamu wa kutokea Counter..

Kuhusu Security ya Igoma sina uhakika sana wa kuweza kuitetea....Ila hapo Eden ni Pazuri kwa Full Muziki.
 
yeaah, unapenda cone kesho nikupeleke salma cone?

Bibie umetoka lini Mpwapwa? Nilikuwa huko mwaka 1988-1991 pale Mpwapwa Sekondari. Kuna mwaka bweni letu lillishinda usafi tukaenda picnic sehemu moja inaitwa Mboli kuzuri sana. Tulikula miwa kwa sana huko.
 
Pia usisahau kutembelea kisiwa cha saa nane ukaone wanyama huko. Karibu kwetu Sukumaland
 
Nimetoka north hotel kuna roast kuku safi sana that was for starter,now niko victoria hotel nasubiria mdudu dah thanx guys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…