Ndani ya Rock city

Loh! Mwanza mara ya mwisho kuwa huko ni kama miaka 8 iliyopita... Ila, I love Mwanza,Kabakabana... Ionje meli pia,you will love it... Nenda Bukoba... Kaa siku moja kesho yake ugeuze..

ntaenda bkb nikija tena mwezi wa tano.sasa hivi ratiba yangu iko kinda fixed.
 
Mwanza Town pale Salma Cone jamaa wanauza Ice Cream nzuri sana na mishikaki, au nenda pale Mwanza institute kuna samaki Sato wa kuchoma
 
Mwanza Town pale Salma Cone jamaa wanauza Ice Cream nzuri sana na mishikaki, au nenda pale Mwanza institute kuna samaki Sato wa kuchoma

i have to try samaki wa kuchoma tomorrow,thanx mkuu
 
Back
Top Bottom