exalioth
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 2,189
- 3,684
uyo mmama anauza chai hapo ukimwangalia unaona kama sio demu wa kutoka naye, huko mgodini wanawake hata wa kihivyo wana thamani balaa, mtu atatoka naye kwa dau refu kwasababu wanawake huko ni wachache na mdudu ngono huko ametawala sana.