Bora wamuache tu. Hivi na wale waliokuwa wanafuja pesa za watumishi hewa sio mafisadi? Mabilioni kila mwezi kwa miaka karibu kumi.Wamuache baba wa watu apumzike lol!!!!
Mkuu sijui hata kama wahusika wamekamatwa kila kitu naona kama usanii tupo hao watumishi hewa dili zao wenyeweSi kweli hao walikuwa wanachukua pesa za watumishi hewa wamefanywaje au tumeishia kujua idad ya watumishi hewa ni wangapi? Je wahusika wamewajibishwa kwa kuiibia serikal?
Hamna kitu hapo kwenye sukari kwenyewe tumeambiwa wasumbufu hawazidi kumi sasa mbona mpaka Leo sukari iko juu, au hao kumi haishi humu nchini?Mkuu sijui hata kama wahusika wamekamatwa kila kitu naona kama usanii tupo hao watumishi hewa dili zao wenyewe
mkuu kuhusu sukari mtumbua vipele alikurupuka kuzuia kuingizwa sukari nchini bila kujipanga wiki mbili zimepita alisema walioficha sukari kule mbagala anawajua mbona sukari bado hajapatikana hakuna kitu kibaya kama kukurupukaHamna kitu hapo kwenye sukari kwenyewe tumeambiwa wasumbufu hawazidi kumi sasa mbona mpaka Leo sukari iko juu, au hao kumi haishi humu nchini?
nkisikia swala la sukari nashikwa na hasira sanamkuu kuhusu sukari mtumbua vipele alikurupuka kuzuia kuingizwa sukari nchini bila kujipanga wiki mbili zimepita alisema walioficha sukari kule mbagala anawajua mbona sukari bado hajapatikana hakuna kitu kibaya kama kukurupuka