Kukusanya pesa nyingi ndio ujinga kwako?Mnaendeleaje kumjaza ujinga bi Chura.
Kwani pesa zinatosha? Maendeleo yamefika mwisho?Kama anakusanya hayo matrillion kwanini amekopa na kuongeza mno madeni ikiwa hayo makusanyo yapo😂?
Unaandika Kwa kutumia hisia au? Madeni hayaji ghafla hivyo yanalipwa mdogo mdogo kadiri ya makusanyo.MSIJIDANGANYE- ANGALIENI MADENI YA MAMA
Total budget for 2025/26 shs 20.19 trillion
Amount set aside for servicing public debt shs 14.22 trillion
Therefore the % of budget set aside for servicing public ddbt is 14.22/20.19 x 100 ‎ = 70.431%
This is 95% of money borrowed from domestic and external commercial lenders.
In effect, you borrow to pay previous loans. This is called debt trap.
Payment for debt servicing is 13 times the expected grants and 42% of the tax collected by TRA.
So more than two-fifths of our taxes go to service public debt.
Source: The Citizen, 5/06/2025 p. 2
Hesabu zikae sawa ni 121-91=30T clear gap 🔥🔥View attachment 3397881
MIAKA 4 YA SAMIA, TRA YAKUSANYA TZS 121 TRILIONI. MIAKA 5 KABLA YA SAMIA ILIKUSANYA TZS 91 TRILIONI.
Miaka minne (4) ya Rais Samia TRA imekusanya jumla ya TZS 120.8 Trilioni~121T.
Wakati katika kipindi kama hicho mwaka 2015/2020 TRA ilikusanya TZS 91.0 Trilioni.
Makusanyo haya ya Rais Samia ni bila Bunduki wala Dhuluma kwa Walipakodi | Wafanyabiashara
WATANZANIA WOTE OKTOBA TUNATIK✅
Hizo takwimu za uongo, mkusanye hela nyingi wapi nyie wezi tu.Kukusanya pesa nyingi ndio ujinga kwako?
🚮🚮Hizo takwimu za uongo, mkusanye hela nyingi wapi nyie wezi tu.
View attachment 3397881