Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,338
- 28,755
Hata iwapo ungekuwa uji wa siasa,maneno ya kuelekea msimu wa kuwahadaa wa Tanzania huwa kawaida ni ya haadaa tupu.View attachment 3397881
MIAKA 4 YA SAMIA, TRA YAKUSANYA TZS 121 TRILIONI. MIAKA 5 KABLA YA SAMIA ILIKUSANYA TZS 91 TRILIONI.
Miaka minne (4) ya Rais Samia TRA imekusanya jumla ya TZS 120.8 Trilioni~121T.
Wakati katika kipindi kama hicho mwaka 2015/2020 TRA ilikusanya TZS 91.0 Trilioni.
Makusanyo haya ya Rais Samia ni bila Bunduki wala Dhuluma kwa Walipakodi | Wafanyabiashara
WATANZANIA WOTE OKTOBA TUNATIK✅