Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,145
- 137,352
Siku zote makusanyo yanaendana na matumizi. Mtuambie sasa kwa uwazi matumizi ya hayo makuaanyo.View attachment 3397881
MIAKA 4 YA SAMIA, TRA YAKUSANYA TZS 121 TRILIONI. MIAKA 5 KABLA YA SAMIA ILIKUSANYA TZS 91 TRILIONI.
Miaka minne (4) ya Rais Samia TRA imekusanya jumla ya TZS 120.8 Trilioni~121T.
Wakati katika kipindi kama hicho mwaka 2015/2020 TRA ilikusanya TZS 91.0 Trilioni.
Makusanyo haya ya Rais Samia ni bila Bunduki wala Dhuluma kwa Walipakodi | Wafanyabiashara
WATANZANIA WOTE OKTOBA TUNATIK✅
Na pia mtuambie kwa nini deni la Taifa kila mwaka nalo linazidi tu kupanda?