Ndani ya mahusiano. . .

Sasa somo la nini wakati utakachojifunza hakitekelezeki?
Sisi wengine hatuelewagi darasani hadi twisheni
6. Kuwa mtu ambae anaweza akajifunza hili au lile kutoka kwako. Usiwe mtu ambae kila siku ni yule yule bila nyongeza yoyote.
Kwa mfano hii no 6 siku nikileta kaufundi kidogo kwenye mechi anawaka ooh umajulia wapi? lazima kuna mtu...........
 
Sisi wengine hatuelewagi darasani hadi twisheni
Kwa mfano hii no 6 siku nikileta kaufundi kidogo kwenye mechi anawaka ooh umajulia wapi? lazima kuna mtu...........

Hata ukielewa bado hayatatekelezeka!!

Hiyo inaetegemea sana na mtu alivyo. Ila unachoweza kufanya ni kumshirikisha wapi ulipojifunza. . .
Kama ni jukwaa la wakubwa mwonyeshe. Kama ni mwelewa ataelewa na kama sio itakua ugomvi! !
 
Dada Lizy najitahdi sana kukaa nampenz wangu nakuyatekeleza yote hayo lakn hataki kubadilika na tabia yake ya kunywa pombe,kurudi nyumban late nakuvuta sigara kila cku nmebakia kulia nakumwambia aache hyo tabia ila no changes,plz lizzy naomba msaada ata kwa kuni pm!
 
Uda pole mwaya.

Kwanza unatakiwa ujue kwamba haiwezekani kabisa kumbadilisha mtu ambae yeye mwenyewe HATAKI kubadilika. Utapiga kelele sana, utalalamika sana, utalia sana ila hamna kitakachobadilika zaidi ya kumfanya aone unamchosha na matakwa yako ambayo sio yake.

Swala la kuvuta sigara kwa mfano. . . unaweza ukajitahidi kumwambia kuhusu madhara yake katika hali ya utulivu badala ya kumwambia tu "mi sitaki uvute sigara" na kuwa kama unampangia maisha. Mweleze kiasi gani harufu yake inakuboa anapokua karibu na vitu kama hivyo.

Pombe kwakweli kumtaka mtu ambae amezoea kunywa aache tu ndani ya siku au wiki ni kama unamuonea. Kama unywaji wake sio ule uliopitiliza, yani hanywi mpaka akirudi anapepesuka na kuanguka hovyo, hawi mgomvi basi acha afurahie bia zake mbili tatu. Jua kadiri utakavyoendelea kulalamika na kumuagiza aache ndio unamsukuma aongeze hata muda wa kukaa huko Bar kwasababu anajua akirudi kwako ni kelele. . kelele.

Na kama ni muhimu sana kwako yeye kuacha hayo mambo na yeye haonyeshi utayari wa kufanya hivyo fikiria kuhusu kuvunja hayo mahusiano. Nakwambia hivi kwasababu kama anakukera sasa hivi usitegemee atabadilika mkiona kwasababu hamna uhakika wa hilo. Hivyo either umkubali kama alivyo mapema hii ili isikusumbue baadae ama uangalie kwingine. . .
 
hapo kwenye blue_wengine,..ni kama kuambiwa acha/usifanye kazi,....ni sehemu ya maisha.
 
Uliza. . . .
suppose umeolewa au you are in a steady relationship,hivi ukiamua ku cheat utacheat na mwanaume wa namna gani...kijana?...handsome?.....pedejee?.......mtu mzima?.....mkunaji kiatu size 10?........au ??
 
Siwezi kuamua kucheat. . .uliza nikiamua kuingia kwenye mahusiano nitachagua mwanaume wa namna gani.
 
Dada Lizy najitahdi sana kukaa nampenz wangu nakuyatekeleza yote hayo lakn hataki kubadilika na tabia yake ya kunywa pombe,kurudi nyumban late nakuvuta sigara kila cku nmebakia kulia nakumwambia aache hyo tabia ila no changes,plz lizzy naomba msaada ata kwa kuni pm!
Young lady kumbuka hakuna binadamu mwingine ambaye anaweza kuwa wewe, sasa kutaka mwenzako abadilike kwa kila kitu ili awe wewe ni next to Impossible.
Haiwezekani kijana asipitie baadhi ya step za maisha kwa mtazamo wako, ni sawa na kijana wa under 30 yrs umuambie msiwe mnakwenda Disco kwa sababu ni uharibifu wa pesa!!

Pili kuhusu sigara solution ya muda mfupi kwanza iwe ni marufuku kuvuta sigara nyumbani, sigara avute huko akiwa anapiga ulabu, pia unaweza kumnunulia baadhi ya mouth freshener spray ili mnapoingia kwenye section ya denda usikereke, kumbuka hata wewe una mapungufu yako ambayo huenda yeye anaogopa kukwambia ili asikukwaze, hakuna maisha bila kuvumiliana otherwise mume/mke unaemtaka umuumbe wewe mwenyewe.
 
mamkwe asante kwa thread zako nzuri na zisizochosha kusoma naendelea kujifunza upande ule mambo yawe bomba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom