Ndani ya mahusiano. . .

Nimemuona ndio. . kwani unadhani nilikua simtegemei? We shauri lako kama ulikua hujui mahusiano yetu ni strictly professional.

dah....
Ila mi kila nkikuulizaga unanirusha, ulikuwa unamaanisha nini?
I kinda cant let go.
 
Young lady kumbuka hakuna binadamu mwingine ambaye anaweza kuwa wewe, sasa kutaka mwenzako abadilike kwa kila kitu ili awe wewe ni next to Impossible.
Haiwezekani kijana asipitie baadhi ya step za maisha kwa mtazamo wako, ni sawa na kijana wa under 30 yrs umuambie msiwe mnakwenda Disco kwa sababu ni uharibifu wa pesa!!

Pili kuhusu sigara solution ya muda mfupi kwanza iwe ni marufuku kuvuta sigara nyumbani, sigara avute huko akiwa anapiga ulabu, pia unaweza kumnunulia baadhi ya mouth freshener spray ili mnapoingia kwenye section ya denda usikereke, kumbuka hata wewe una mapungufu yako ambayo huenda yeye anaogopa kukwambia ili asikukwaze, hakuna maisha bila kuvumiliana otherwise mume/mke unaemtaka umuumbe wewe mwenyewe.

nashukuru sana,
lizzy,ntafanyia kazi hlo!:A S 465:
 
Mada yako nzuri kama ilani ya CCM ilivyo nzuri, lakini haitekelezekiHata hivyo nitaomba MOD wanipe no yako nikutafute unipe darasa kirefu zaidi, unasemaje? just to advice me
Watu wengine ni very strategic. Sasa kama hayo umeshasema ni kama ilani ya ccm na kwamba hayatekelezeki unatafuta namba ya mtoa mada ya nini? Ama una agenda nyingine?? Weka wazi hapa.
 
Asante kwa useful post...

Ila 13 na 14...
Dah... Ni mambo muhimu,ila wanaume tunaweza,ila yanataka mwanamke understanding..

Wanaume wachache sana wanaweza Gamba. . .ndio maana wengine hua wanatoka nje kubembelezwa kisa wake zao hawabembelezi, au sio watundu chumbani. Hawahangaiki kufundisha wala nini. . .wanataka mtu awe anajua tayari, utadhani wenyewe hawakujifunza at some point.
pa kumpatia sasa..ndiyo kazi..

Huko huko uraiani. . . ukiangalia kwa makini utashangaa mwenyewe utakavyompata kirahisi.
 
:poaLizzy Asante kwa darasa la ukweli. Naona kwa namna hii wenye mahusiano yatazidi kuboreka na kuwa imara. love it.
 
Watu wengine ni very strategic. Sasa kama hayo umeshasema ni kama ilani ya ccm na kwamba hayatekelezeki unatafuta namba ya mtoa mada ya nini? Ama una agenda nyingine?? Weka wazi hapa.
Hapo sasa. . . usanii tu.
 
Poa Lizzy. Naona upo online. Nimeshindwa nisaidie how can up load my avatar in my profile? Mi mgeni labda ndo maana najaribu ila nashindwa. can you brief me?

IKHO angalia pale juu kabisa kuna sehemu imeandikwa SETTINGS (natumai unatumia PC). . . .bonyeza hapo alafu angalia chini kidogo upande wa kushoto utaona palipoandikwa EDIT AVATAR. . bonyeza hapo. Ukishabonyeza hapo utapelekwa kwenye page inayokupa option ya ku-upload picha kutoka kwenye computer yako au kuweka URL ya ilipo hiyo avatar.Ukimaliza bonyeza SAVE CHANGES alafu utaiona. Ila kama ni kubwa sana itakataa mpaka uipunguze.
 
Mrengo wako ni kuboresha mahusiano kati ya watu wawili...

Je sexual act ina umuhimu katika hili? Na kwa kiasi gani? Kikubwa au sawa kama mambo mengine..

Ofcourse it is. . .hukuona "BAD GIRLS ARE SEXY"? Kama hukuona angalia hapa . . . .

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/219085-bad-girls-are-sexy.html

Anyway umuhimu wake unaendana na matakwa ya wahusika wenyewe. Ila generally inatakiwa ipewe nafasi na muda wa kutosha ili kuwe na balance. Sio muda wote mnakua mnahangaika na mambo mengine ambayo mngeweza mkayafanya hata na marafiki zenu alafu mnasahau lile ambalo ndio haswa linatofautisha urafiki pekee na urafiki ndani ya mahusiano. Ndio maana yanaitwa mahusiano ya kimapenzi. . .kwasababu mapenzi ni kiungo kikuu kwenye mahusiano ya mke na mume/wapenzi.
 
Thanks,nimekupata vizuri Lizzy...
wajua sijakuona,hata ukimsalimia mtu kwenye thread ya lucky-c-pesa au .....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom