Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,163
- 37,801
Kama ilivo tofauti za kimitazamo na kutoelewana, humu pia hali hizo hujitokeza, kwa kuwa watu ni wale wale na masuala yanayotutofautisa ni yale yale!
Zijue baadhi ya ukinzani ama tofauti ama migogoro ya kimitazamo na misimamo ndani ya JF, na ukutanapo na mada za aina hii, uwe na akili ya ziada katika kuchangia, hizi hapa ni baadhi ya timu zenye kuhasimiana humu jamvini:

- Wanaume wa DSM v Wa mikoani!
- UKAWA v Timu LUMUMBA, wakati mwingine hawa huitwa BK7!
- Timu KIBA v Timu MOND!
- TimuBWAWA v TimuVIBAMIA!
- Wanawake v TimuVIBAMIA!
- Wanaume v TimuBWAWA
- Other Univ. Alumni v UDSM Alumni
- Wanaume v Wanawake single 30+
- Wadharau walimu v Watetezi wa walimu!
- Wafuasi wa "U- David Cameron" v Wapinga "U-David Cameron"
- Wanaume v Single Mamas!
- TimuWAPENDA MIZIGO v Flat screen!