Microgynon
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 826
- 1,003
Joseverest ongea na mshana akusaidie urudishe kasi yako ya kuComment wa kwanza kabisa ktk kila post jf maana siku hz umekuwa bwegeJamaa ni libonge![]()
Cc. mshana jr saidia hii raia Joseverest
Joseverest ongea na mshana akusaidie urudishe kasi yako ya kuComment wa kwanza kabisa ktk kila post jf maana siku hz umekuwa bwegeJamaa ni libonge![]()
HahahahhaMambo ya afro 70? Wakat nipo kijana nlikuwa napenda sana style hii. Nachomeka na chanio kichwani.miaka hiyo na suruali zetu bwanga shati za kubana. Au zile shati eagle/ juliana... Safi sana.
Ana kipara cha asili na pia ana mwanya, ila anajipendapenda hivi, nadhani ndiyo maana anawawini sana...🙂
Duh!, Kilo 120?,halafu unasema wewe sio kibonge, brother be serious bhana.Ufafanuzi
Huyo jamaa si mimi japo pia nilishawahi kufananishwa naye zaidi ya mara moja nje ya Jamiiforums
Mimi sio kibonge nina kilo 120 tu... Wajihi wangu ni cheusi tii...
Sehemu ambazo nishadaiwa kuonekana ni Mbeya, Kigoma Bukoba Mwanza kahama Arusha na Sumbawanga
Anakataa kwamba yeye sio Kibonge, eti ana Kilo 120 tu.Jamaa ni libonge![]()
Yes....Duh!, Kilo 120?,halafu unasema wewe sio kibonge, brother be serious bhana.
Kitambi Huna ?Yes....
Cna!Kitambi Huna ?
weka pichaCna!
.weka picha
Angalia BMI kama ipo normalUfafanuzi
Huyo jamaa si mimi japo pia nilishawahi kufananishwa naye zaidi ya mara moja nje ya Jamiiforums
Mimi sio kibonge nina kilo 120 tu... Wajihi wangu ni cheusi tii...
Sehemu ambazo nishadaiwa kuonekana ni Mbeya, Kigoma Bukoba Mwanza kahama Arusha na Sumbawanga
Ndio nini hiyo?Angalia BMI kama ipo normal

habar zenu wakuu , tupoe na mihangaiko ya hapa na pale
Moja kwa moja kwenye mada husika
Tangia nijiunge na jf kumekua na huyu member aitwae mshana jr yaan mada zake nying ni kuhusu yale mambo ya kiswahili yaani mambo ya tunguli , ramli , kutafsiri ndoto nk
Kwa kweli binafsi si mpenzi wa mada zake huyu jamaa ikizingatiwa kua si mambo ya kuyatilia maanani sna
Basi siku ya jana tarehe 26/8 wakati narudi kwenye mihangaiko yangu ndani ya usafiri wa umma aiseeee !!
Sitaki kuamini kama yule jamaa si mshana jr ,kwa jinsi gari nzima yaan ipo kimya jamaa anachambua mambo ya ramli kiunaga ubaga hadi nikapigwa na butwaaa yaani elimu kama hizi watu wapata wapi au wamerithishwa na mababu ?
Jamaa ni libonge hilo , limevalia ki brother man ila vitu anavyochambua unaweza sema katoka kuzimu
Kumbe mshana jr ni bonge vile , kwa jins jamaa alivyokua anachambua mambo ya ramli na confidence hapo hapo nikasema yeess leo nimepanda gari moja na mshana jf
Mshana jr tafadhali sna mkuu hemu njoo utoe uthibitisho huku kua ulikua ni wewe halisi au kama unawanafunzi wako hapa dar city centre pia tujue
Ahsanteni .....
Basi unapoteza uharali wa ujumbe unaweza ukawa unatuzuga tu~Hahah kweli aisee ila skupata akil hio
BMI=Body Mass IndexNdio nini hiyo?![]()
BMI=Body Mass Index
BMI =Weight(Kg)/Height(cm²)
Unatumika kutambua Obesity
tatizo nimewekeza zaidi kwenye ulozi