Marahaba dogo naona watu wanatafuta tafu? Wengi huwa wanahisi hiyo picha hapo ni ya kwako. Yajayo yanasikitisha.![]()
![]()
shikamoo Dada

mi nadhani swissme.Itakua jolie
Save the date dada....Marahaba dogo naona watu wanatafuta tafu? Wengi huwa wanahisi hiyo picha hapo ni ya kwako. Yajayo yanasikitisha.
Asiwadanganye hayupo hata hiyo bongo ndo maana mnamwona saa 8 usiku. Mwenzenu yupo anapiga nondo nimeshatoneshwa na mtu wake. cc: mshana jr.Ufafanuzi
Huyo jamaa si mimi japo pia nilishawahi kufananishwa naye zaidi ya mara moja nje ya Jamiiforums
Mimi sio kibonge nina kilo 120 tu... Wajihi wangu ni cheusi tii...
Sehemu ambazo nishadaiwa kuonekana ni Mbeya, Kigoma Bukoba Mwanza kahama Arusha na Sumbawanga
Asiwadanganye hayupo hata hiyo bongo ndo maana mnamwona saa 8 usiku. Mwenzenu yupo anapiga nondo nimeshatoneshwa na mtu wake. cc: mshana jr.

July lazima. au August mwanzoni.Save the date dada....
Noted...!!!July lazima. au August mwanzoni.
![]()
![]()
![]()
![]()
Jamani sasa mimi niko wangapi? Nilishawahi kumsaidia tu mtu mmoja huko tena ilikuwa home kwa jamaa yangu.. Mara moja tuu

Niambie utanisaidiaje kwanzaNjoo nyumbani kwangu unisaidie na mimi jamani Mshana Jr. Na wewe nitakusaidia![]()

Umesahau Makutano MabiboUfafanuzi
Huyo jamaa si mimi japo pia nilishawahi kufananishwa naye zaidi ya mara moja nje ya Jamiiforums
Mimi sio kibonge nina kilo 120 tu... Wajihi wangu ni cheusi tii...
Sehemu ambazo nishadaiwa kuonekana ni Mbeya, Kigoma Bukoba Mwanza kahama Arusha na Sumbawanga
Ufafanuzi

Hamna shida ngoja nirejee nchini tutaonanaMshana jr toa ufafanuz mm binafsi nataman kukuona na kukujua
Wewe sio bonge?