Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,945
Propaganda.
"Propaganda spread on his face"
Propaganda.
Nilipo msikia anamwambia Prince kumpeleka mafunzo ya uongozi (akimaanisha hana sifa ya uongozi) nilishaona Dr Nshomile anayo agenda nyingine.Ohhh maji yameshakorogeka.
Kama wagombea ni Jiwe na Bashiru, kura yako unampigia nani?Nilipo msikia anamwambia Prince kumpeleka mafunzo ya uongozi (akimaanisha hana sifa ya uongozi) nilishaona Dr Nshomile anayo agenda nyingine.
Ukiona kiongozi wa ccm anamvua chupi Makonda ujue kesha jiandaa kukabiliana na Jiwe kwa namna nyingine hapo anachokoza tuu.
2020 utakuwa mwaka mgumu sana ndani ya ccm zaidi ya 2015 ambapo ilibidi mtu asukumiziwe tuu madaraka.
Kama wagombea ni Jiwe na Bashiru, kura yako unampigia nani?
Na wewe una akili kumbe?Umbeya mkidanganyana kwenye magroup ya wasap unayaleta hadi huku kwa watu wenye akili zao
Hujajibu swali nililokuuliza, na ulichojibu sijakuuliza.Huyo ni kibaraka wa membe
Wewe Sky Eclat nani huyo tukinukisheWEWE uliteuliwa na kisha kupitishwa na Kamati Kuu kuwa Katibu Mkuu wa chama pamoja na kwamba hukuwa na sifa.
Umeonja utamu wa madaraka, umenogewa kama ngono inavyomnogea mfungwa aliyeachiwa huru.
Sasa unamsaliti bosi wako. Unazunguka nchini nzima kuwashawishi wajumbe wa NEC huku ukimnanga bosi wako na kudai 2020 ni wewe unafaa kukiwakilisha chama kugombea Urais.
Huu ni ushirikina wa hali ya juu. Kwamba sasa hata "slow slow" hamuongei. Inasikitisha sana! Let's watch the movie on the huge screen mounted on the wall.
#AchaWoga2020
#NiguseNinuke
Professional Nurse Sky Eclat hizi tetesi, fununu au ndio habari iliyopo mjini kama kweli basi sauti inatosha usiongeze VOLUMEWEWE uliteuliwa na kisha kupitishwa na Kamati Kuu kuwa Katibu Mkuu wa chama pamoja na kwamba hukuwa na sifa.
Umeonja utamu wa madaraka, umenogewa kama ngono inavyomnogea mfungwa aliyeachiwa huru.
Sasa unamsaliti bosi wako. Unazunguka nchini nzima kuwashawishi wajumbe wa NEC huku ukimnanga bosi wako na kudai 2020 ni wewe unafaa kukiwakilisha chama kugombea Urais.
Huu ni ushirikina wa hali ya juu. Kwamba sasa hata "slow slow" hamuongei. Inasikitisha sana! Let's watch the movie on the huge screen mounted on the wall.
#AchaWoga2020
#NiguseNinuke
WEWE uliteuliwa na kisha kupitishwa na Kamati Kuu kuwa Katibu Mkuu wa chama pamoja na kwamba hukuwa na sifa.
Umeonja utamu wa madaraka, umenogewa kama ngono inavyomnogea mfungwa aliyeachiwa huru.
Sasa unamsaliti bosi wako. Unazunguka nchini nzima kuwashawishi wajumbe wa NEC huku ukimnanga bosi wako na kudai 2020 ni wewe unafaa kukiwakilisha chama kugombea Urais.
Huu ni ushirikina wa hali ya juu. Kwamba sasa hata "slow slow" hamuongei. Inasikitisha sana! Let's watch the movie on the huge screen mounted on the wall.
#AchaWoga2020
#NiguseNinuke
Unajaribu kujihami kwa kuanziasha propaganda za kijinga baada ya kuona uchaguzi wa Chadema umeanza kukigawa Chama?WEWE uliteuliwa na kisha kupitishwa na Kamati Kuu kuwa Katibu Mkuu wa chama pamoja na kwamba hukuwa na sifa.
Umeonja utamu wa madaraka, umenogewa kama ngono inavyomnogea mfungwa aliyeachiwa huru.
Sasa unamsaliti bosi wako. Unazunguka nchini nzima kuwashawishi wajumbe wa NEC huku ukimnanga bosi wako na kudai 2020 ni wewe unafaa kukiwakilisha chama kugombea Urais.
Huu ni ushirikina wa hali ya juu. Kwamba sasa hata "slow slow" hamuongei. Inasikitisha sana! Let's watch the movie on the huge screen mounted on the wall.
#AchaWoga2020
#NiguseNinuke
Hao hata kama niletewe na shetani kuchagua mmoja wao, nitamuambia rudi nao ulikowatoaKama wagombea ni Jiwe na Bashiru, kura yako unampigia nani?
Huyo ni kibaraka wa membe