Waziri wa mambo ya ndani anapotosha umma wa watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa mambo ya ndani anapotosha umma wa watanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by status quo, Nov 22, 2011.

 1. status quo

  status quo Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  jana katika kipindi cha dakika 45 katika tellevision ya ITV, nilimsikia Waziri wa mambo ya ndani mhe vuai naodha akizungumzia maandamano ya wanafunzi wa university of dar es salaam na kutetea nguvu kubwa ya polisi iliyotumika kuwasambalatisha na akatolea mfano wa jambo linaloendelea america yaaani occupy wall street protests, huu ni upotoshaji wa hali ya juu kutoka kwa kiongozi mkubwa wa nchi na hii inaonyesha jinsi viongozi wa nchi walivyo na uelewa finyu kuliko hata wananchi wao. maandamano ya UDSM ni tofauti kabisa na maandamano ya occupy wall street kwa sababu zifuatazo:
  • The ocuppy wall street protests are against social and economic inequality, high unemployment, greed, as well as corruption, and the undue influence of corporations,particularly that of the financial services sector on government.while UDSM protests is about loans.
  • second, waziri ameshindwa kutofautisha mfumo walionao US na wa kwetu TZ, marekani ni federal republic hapa ni kwamba kunakuwa na majimbo "states governments" na federal government, na kila kiongozi wa kisiasa marekani nanachaguliwa na wananchi kuanzia meya, district attorney,governor,etc hiyvo kule marekani serikali yaani federal government haimiliki jeshi la polisi, mfano pale ney york juzi kulitokea clashes kati ya protesters na polisi NYPD, ambao wako chini ya mayor michael bloomberg wa ney york anayetoka chama cha republican, ambao ndio hasa walengwa wa maandamano hayo, aliwaagiza polisi kuwaamisha protesters na sio kuwa tawanya kwa nguvu kubwa kama aliyo tumia naodha na polisi wake pale UDsm.
  • tatu, kikatiba marekani maandamano ni haki ya msingi ambayo polisi, mahakama, bunge au serikali hairuhusiwi na ni mwiko kuipoka kwa wananchi kama ambavyo inapatikana katika 1st ammendment ya katiba yao and i quote "Congress shall make no law respecting an establishment of religion, or prohibiting the free exercise thereof; or abridging the freedom of speech, or of the press; or the right of the people peaceably to assemble, and to petition the Government for a redress of grievances." hivyo huu ni upotoshashi mkubwa uliofanywa na waziri .
  • na mwisho napenda kushauri mawaziri waache kupotosha umma wa watanzania, ngeleja alituambia mgao utakuwa historia lakini hadi leo wapi, magufuli akaja na flyovers wakati hata za chini bado, kombani akaja na katiba mpya kumbe ni yale yale haya yote ni evidence tosha kwamba jamaa hawatufai, we need to CHANGE.
   
 2. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Viongozi wengi wa Tanzania wanaifinyu wa kuelewa na wengi wao bado washamba ingawa wanasafiri lakini bado hawajikomboi kifikra
   
 3. p

  politiki JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  mkuu meya Bloomberg siyo republican bali ni independent aliwahi kuwa republican lakini hayuko nao tena.
  i agree with the rest of the story.
   
 4. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Huyu jamaa nae hana jipya na cheo kapewa tu kama walivyopewa wengine,hajui lolote kuhusu sheria wala taratibu zinazoongoza nchi mbalimbali duniani.
  Mpaka sasa sijaona waziri ambaye anafanya hasa kazi ya maana na ambao wanajaribu kufanya hukwamishwa na Rais ambaye hana maamuzi ya moja kwa moja.
   
 5. l

  luckman JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  muda si muda joto linaandaliwa!wanajua ila na sisi tunajua na mwisho tutaona mwerevu ni nani??
   
 6. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mkuu mimi sidhani kama wana ufinyu wa kuelewa...nadhani kila kitu wanakiona kwa upeo wetu ila hawana jinsi tu ...kwa sababu ya uroho wa madaraka na kulinda maslahi yao pamoja na vizazi vyao vijavyo...!
   
 7. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Maneno mengi kwa kitu ambacho hakina sababu. Similarity aliyoizungumzia yeye haitokani na mfumo wa serikali au hoja wanazozipigania. Similarity iko katika namna ya kushughulikia maandamano na mikusanyiko ya namna hiyo. Wewe unatoka povu kutoa lecture kuhusu mfumo wa uongozi na nani yuko chama kipi. Utterly irrelevant and wasted effort.
   
 8. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Nahodha mambo ya watanganyika hayamhusu,mambo ya udsm atuachie sisi
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kipindi kizima kilikosa mantiki..sijui alipewaje uwaziri kiongozi na sasa mambo ya ndani..yuko shallow sana..yaaani he is not a misterial personality kabisa
   
Loading...