Ndani ya CCM mambo si shwari

Ndani ya CCM mambo si shwari

WEWE uliteuliwa na kisha kupitishwa na Kamati Kuu kuwa Katibu Mkuu wa chama pamoja na kwamba hukuwa na sifa.

Umeonja utamu wa madaraka, umenogewa kama ngono inavyomnogea mfungwa aliyeachiwa huru.

Sasa unamsaliti bosi wako. Unazunguka nchini nzima kuwashawishi wajumbe wa NEC huku ukimnanga bosi wako na kudai 2020 ni wewe unafaa kukiwakilisha chama kugombea Urais.

Huu ni ushirikina wa hali ya juu. Kwamba sasa hata "slow slow" hamuongei. Inasikitisha sana! Let's watch the movie on the huge screen mounted on the wall.

#AchaWoga2020
#NiguseNinuke
What's this?
 
Hata kama ccm siwapendi ila huu ni uongo haufai hata kujadiliwa.
 
Nilipo msikia anamwambia Prince kumpeleka mafunzo ya uongozi (akimaanisha hana sifa ya uongozi) nilishaona Dr Nshomile anayo agenda nyingine.
Ukiona kiongozi wa ccm anamvua chupi Makonda ujue kesha jiandaa kukabiliana na Jiwe kwa namna nyingine hapo anachokoza tuu.
2020 utakuwa mwaka mgumu sana ndani ya ccm zaidi ya 2015 ambapo ilibidi mtu asukumiziwe tuu madaraka.
Anamvua chupi ili amfanye nini mkuu?
 
WEWE uliteuliwa na kisha kupitishwa na Kamati Kuu kuwa Katibu Mkuu wa chama pamoja na kwamba hukuwa na sifa.

Umeonja utamu wa madaraka, umenogewa kama ngono inavyomnogea mfungwa aliyeachiwa huru.

Sasa unamsaliti bosi wako. Unazunguka nchini nzima kuwashawishi wajumbe wa NEC huku ukimnanga bosi wako na kudai 2020 ni wewe unafaa kukiwakilisha chama kugombea Urais.

Huu ni ushirikina wa hali ya juu. Kwamba sasa hata "slow slow" hamuongei. Inasikitisha sana! Let's watch the movie on the huge screen mounted on the wall.

#AchaWoga2020
#NiguseNinuke
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
 
Wafuasi wa Yasser Arafat mnamatatizo sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom