Ndani ya CCM mambo si shwari

Ndani ya CCM mambo si shwari

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,350
WEWE uliteuliwa na kisha kupitishwa na Kamati Kuu kuwa Katibu Mkuu wa chama pamoja na kwamba hukuwa na sifa.

Umeonja utamu wa madaraka, umenogewa kama ngono inavyomnogea mfungwa aliyeachiwa huru.

Sasa unamsaliti bosi wako. Unazunguka nchini nzima kuwashawishi wajumbe wa NEC huku ukimnanga bosi wako na kudai 2020 ni wewe unafaa kukiwakilisha chama kugombea Urais.

Huu ni ushirikina wa hali ya juu. Kwamba sasa hata "slow slow" hamuongei. Inasikitisha sana! Let's watch the movie on the huge screen mounted on the wall.

#AchaWoga2020
#NiguseNinuke
 
WEWE uliteuliwa na kisha kupitishwa na Kamati Kuu kuwa Katibu Mkuu wa chama pamoja na kwamba hukuwa na sifa. Umeonja utamu wa madaraka, umenogewa kama ngono inavyomnogea mfungwa aliyeachiwa huru.

Sasa unamsaliti bosi wako. Unazunguka nchini nzima kuwashawishi wajumbe wa NEC huku ukimnanga bosi wako na kudai 2020 ni wewe unafaa kukiwakilisha chama kugombea Urais. Huu ni ushirikina wa hali ya juu. Kwamba sasa hata "slow slow" hamuongei. Inasikitisha sana! Let's watch the movie on the huge screen mounted on the wall.
#AchaWoga2020
#NiguseNinuke
Jana ulikunywa nini maana naona bado una hangover!
 
Umbeya mkidanganyana kwenye magroup ya wasap unayaleta hadi huku kwa watu wenye akili zao
 
Kwani katiba ya ccm inasemaje,kwani ni kosa la jinai au usaliti kutangaza nia baada ya 5yrs ya muhula pendekezwa wa uongozi kumalizika.Mbona ni kama vile kuna kijikundi kisichozid watu wawili wanataka kijimilikisha madaraka kwa kujibu wa mleta mada. Kama ni kweli,bhasi wanachama wa ccm must wake up and do something for their rights. Vinginevyo Nduli Dada hatawaacha salama hadi mwisho wa dahari.
 
Kusingekuwa na neno anasema yeye Ndo anafaa kuwa raisi, huu uzi ungekuwa na watu wachache sana ambao wangehisi ni propaganda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom