Mbona sababu zipo wazi?Nakupa Moyo kwa kutoka nje ya nchi yako,umefanya jambo la maana sana na litakuja kukupa Kumbu Kumbu lu nzuri sana maishani kwani uwezo wa kwenda kuishi nje ya nchi yako ya asili ni degree tosha na utajifunza mambo mengi ambayo kama ungekaa nchi kwenu usingejua watu wa nchi zingine wanaishije,halafu sehemu nyingi duniani utakuta wakenya wengi sana,kwanini watz hawapendi kutoka,,,
Mbona sababu zipo wazi?
Wewe ni Mtz?
Mkuu umėondökä Tz umeacha maviwanda kibao havina wafanyakazi pia uchumi umekuwa kwa 7.3% ebu rudiWakuu habari,
Nimeshafika hapa cape town kwa Mara yakwanza.Yafuatayo ndio niliyoyakuta hapa
Hali ya hewa ni nzuri msimu huu wa summer.
Wenyeji wa eneo nililofikia wengi ni warangirangi
Tofauti na miji mingine hapa SA,cape town hakuna usumbufu wa polisi kukamata wahamiaji wasio na vibali vya kuishi(Hii ni nadra sana) hakuna kutembea na passport.
Vibaka wakirangirangi hapa Retreat wamejaa hivyo nikutembea kwa machale.NI HAYO TU,
NINASEHEM YAKULALA NA PESA KIDOGO YAKUNISUKUMA WALAU MWEZI MMOJA.
BADO NATAFUTA KIBARUA CHAKUFANYA KUJIINGIZIA KIPATO HIVYO KAMA KUNA CONNECTION YOYOTE KWA WENZANGU MLIOPO HAPA TUSAIDIANE.
Nimeandika sababu zipo wazi kwanini Wtz hatutoki mkuu.Ndiyo,sijaelewa umevyosema mbona sababu zipo Wazi?
Acha kumuingiza chakaSawa Kiongozi
Ila Umeondoka Tanzania Haraka Tu Wakati Nchi Ipo Vema Na Mambo Mengi Sana Mazuri
Tazama Ufunaji Korosho Na Uuzaji Wake Mbuzi Hawatakunywa Soda
Tanzania Ni Pazuri Nchi Ya Asali Na Maziwa
Nakushauri Urudi Na Wenzako
Usijali mkuu.Hahahaha maisha ya siku hiz hatar,yani wakat ww unaniwazia kukuteka wakati Mimi nakuhofia usije niteka then ukanifanyia kitu mbaya.Maana dunia imekwisha...ukihitaj picha zangu nitakutumia usihofu mkuu ila naw uwe mkweli.
Sawa.Karibu mkuu me bado nipo sana hapa
Nakupa Moyo kwa kutoka nje ya nchi yako,umefanya jambo la maana sana na litakuja kukupa Kumbu Kumbu lu nzuri sana maishani kwani uwezo wa kwenda kuishi nje ya nchi yako ya asili ni degree tosha na utajifunza mambo mengi ambayo kama ungekaa nchi kwenu usingejua watu wa nchi zingine wanaishije,halafu sehemu nyingi duniani utakuta wakenya wengi sana,kwanini watz hawapendi kutoka,,,
Hakika upo Cape town ulivyozungumzia hao warangirangi huku wanaitwa coloured.Karibu sana Mji unaoitwa Beaufort west sio mbali sana na Cape town.Aisee huku kuna warangirangi wazur na wakawaida wamejaa tele,
Tena hiyo ni nyingi mie nilifika chini ya hela hiyo kwa njia ya mabasi.Unafikaje na 500k?
Uko sahihi kabisa mkuu.Kwa njia ya bus from dar to harare 130000,Harare to cape town direct nilipanda bus Nitol nikatoa Rand 1100.
Isipokuwa accommodation is f*ng expensiveKila kitu Ni tofaut especially huku basic needs is affordable.
Nani kakudanganya??? Mkuu watu wanakula bataMapumziko ya mwaka kwa mtu kutoka Tanzania ni overstatement.